KERO Wakazi wa Kiluvya madukani (Makurunge) hatulali kutokana na kelele kubwa ya bar ya REDOMAX

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,213
Reaction score
28,916
Mh Mkuu wa wilaya na mkuu wa jeshi la polisi mkoa wa Pwani najua huko kwenu mnalala usingizi ila sisi wana makurunge hatulali kutokana ka kelele za mitetemo kutoka kwenye bar ya REDOMAX.

Tuna wagonjwa , wengine tunelitumikia taifa wiki nzima na tunahitaji akili yetu ipumzike ili Jumatatu tukasukume gurudumu la maendeleo lakini ndio hatuwezi sasa kila siku ni kelele, hapa nilipo ni karibu mita 500 kutoka bara ilipo ila siwezi kulala kabisa ,tuambiwe tatizo nini au mmeshindwa kazi kuombe msaada ngazi za juu zaidi .

Nafahamu kuna taratibu za kuzuia kelele na mtetemo hasa kiujenzi ambapo sauti hubakia ndani sio kwenye open bar kama ile .

Kwa niaba ya wakazi wa makurungu majumba sita tunaomba ulifanyie kazi jambo hili

USSR
 
Nimepakumbuka sana kiluvya secondary aisee nlisoma hapo miaka ya 2006
 
Jenga karibu na kikwete kule UPEPO unakovuma. Huwezi sema umelitumikia taifa halafu unaishi vichakani au changanyikeni vinginevyo tutasema taifa limekutumikisha
Upepo wapi kule joto kali au hujuo bahari ipo nyuzi joto 0 chino ya usawa wa bahari, kaishi wewe umeme ukatike uone ,huku kiluvya majumba sita upepo kama wote

USSR
 
Kwamba bar imekuja juzi ila siso tuhame kupisha bar akili zako za kuku hizi

USSR
giga-chad-cat-v0-2x5vwkun14xb1.jpg
 
Mbona makanisa na misikiti inapiga kelele upo kimya acha raia wapunguze stress
Kwa muda sio kil siku ,tangu lini kelele zikapunguza stresses

USSR
 
Mh Mkuu wa wilaya na mkuu wa jeshi la polisi mkoa wa Pwani najua huko kwenu mnalala usingizi ila sisi wana makurunge hatulali kutokana ka kelele za mitetemo kutoka kwenye bar ya REDOMAX.

Tuna wagonjwa , wengine tunelitumikia taifa wiki nzima na tunahitaji akili yetu ipumzike ili Jumatatu tukasukume gurudumu la maendeleo lakini ndio hatuwezi sasa kila siku ni kelele, hapa nilipo ni karibu mita 500 kutoka bara ilipo ila siwezi kulala kabisa ,tuambiwe tatizo nini au mmeshindwa kazi kuombe msaada ngazi za juu zaidi .

Nafahamu kuna taratibu za kuzuia kelele na mtetemo hasa kiujenzi ambapo sauti hubakia ndani sio kwenye open bar kama ile .

Kwa niaba ya wakazi wa makurungu majumba sita tunaomba ulifanyie kazi jambo hili

USSR
Mambo mawili matatu ya kuku amru mkuu.
1 uhame.
2 ujiue
3 potezea.
 
Back
Top Bottom