kombelo la mfalme daudi
Member
- Apr 1, 2023
- 12
- 9
KIPUNGUNI (A) na Kipunguni mashariki ambayo unaingilia Banana tumepakana na uwanja wa ndege. Tuna mgogoro miaka 22 Sasa . Mwaka huu wametufanyia tathimini lakini SERIKALI hawasemi ukweli wanatulipa lini Yaani hii SERIKALI yetu haiwajali wananchi wake kabisaNakaa Kipunguni B. Bomoaboa hiyo iko sehemu gani?
Ipo kipunguni ANakaa Kipunguni B. Bomoaboa hiyo iko sehemu gani?
Nawaombeni mjiandae kisaikolojia, mtalia na kusaga meno.Waulizeni bonde la mto Msimbazi!!!!!!!!! Nyumba ya milioni 40 unapewa milioni 3!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Sijajua serikali INA mpango gani, kwasababu toka tathmini ifanyike ikipita miezi sits hawajalipa itabidi tathmini ifanyike upya hiyo ni kisheria, lakini hakuna taarifa yoyote unayotolewa na muda unazidi kwenda, hii project imekaa kigizagiza sana na wakirudia tathmini ni hasara kwa serikali kutumia pesa Mara tatu kwa jambo moja.