KERO Wakazi wa Kipunguni wamefikisha miaka mitatu bila kulipwa fidia

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Wakazi wa Kipunguni Mashariki Ilala Dar es Salaam, wamefikisha miaka mitatu bila kulipwa fidia waliyoahidiwa na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) ili kupisha uendelezaji wa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere na kuomba serikali kuingilia kati ili waweze kulipwa.​



Your browser is not able to display this video.

​
Chanzo: ITV DIGITAL
 
Hamna kitu hapo!

Mkurugenzi ni maneno tu analisha watu
 
Mbona jana wamekabidhiwa hundi ya bilion 20!?
 
Wale wa kipawa na kigilagila walikaa miaka mingapi?
Nakumbuka kuna siku walifunga barabara pale Airport na Mzee JK alikuwa anatoka safari za nje, hali ilikuwa tete sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…