Polisi ni mbwa kwani wewe mbwa ukimwambia kamata huwa anahoji? Wao ni wa kupewa amri ndo kazi yao inavyotaka shida sio polisi shida nia anayetoa amri mbwa akikung'ata unamlaumu mbwa mlaumu aliyemwambia mng'ate hao ni wa kuonewa huruma hawana namna ya kukwepa.Polisi huwa nawashangaa Sana, sijui akili zao ziko kwenye mabuti?
Acha ujinga wewe na habari zako fake!Safi Sana, inatakiwa na jeshi pia lisambae mitaani kuua raia hovyo ndo akili zitawaijia Misukule ya Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Ogopa mtu anaupata Urais wakati hajawahi maishani mwake kuwa na ndoto za kuwa Rais .ndo mana labda mtu yule hajatutakiwa heri sisi watanzania kwa mwaka 2020 hatari sana tuna mtu wa ajabu sana
wanakua na wivu wakiona watu wanakula bataPolisi huwa nawashangaa Sana, sijui akili zao ziko kwenye mabuti?
Wanawapiga waliopo bar, waliopo kanisani wanapeta.
Upigaji wa raia ni ukiukaji wa haki za kibinadamu.
Kama ambavyo wamewaheshimu waliopo kanisani, kwa kiasi hichohicho ilitakiwa wawaheshimu waliopo bar
wamekoma
mnakiwa muishi ka ma mashetani mwaka huuwanakua na wivu wakiona watu wanakula bata
ndiyo maan maCCM hayaipendi kauli ya kazi na batamnakiwa muishi ka ma mashetani mwaka huu
Police wa Tanzania ni mbwa wa CCM, so it seems the attacked victims were members of CHADEMA partyEleza vizuri Polisi siyo wajinga kiasi hicho cha kwenda barabarani na bar na kupiga watu ovyo. Usitufanye wajinga wote humu JF!
Endelea.....Police wa Tanzania ni mbwa wa CCM, so it seems the attacked victims were members of CHADEMA party
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari original ni kumsifia Dikteta wa Tanzania, kazi mnayoAcha ujinga wewe na habari zako fake!
kadiri unavyopambana na kauli ndivyo inavyozidi kuipaisha mimi mwenywe nimeipenda sana mwaka huu ni kazi na batandiyo maan maCCM hayaipendi kauli ya kazi na bata