Tujulishe kuhusu matukio yako fake ya mauaji huko Rubondo ambayo uliahindi kuwapelekea mabwana zako huko Marekani. Vipi any updates?
Tujulishe kuhusu matukio yako fake ya mauaji huko Rubondo ambayo uliahindi kuwapelekea mabwana zako huko Marekani. Vipi any updates?
wao ni mbwa wa kupewa amriMapolisi mengi huwa hayana uwezo wa kiakili wa kutambua jema na bays sijui hii inasababishwa na nini
LAbda walitaka kuchomoa betri, Si unawajua?Jana mida ya saa 5 usiku maeneo mbalimbali ya manispaa ya Morogoro wananchi waliokuwa wakisherekea mwaka mpya walipigwa na polisi kwa kuonekana barabara au baa kuanzia saa 5 usiku kabla hata ya mwaka mpya 2020 kufika.
Gari 2 za polis wakiwa na mbwa zilizunguka maeneo mbali mbali ya manispaa ya Morogoro ikiwemo Mazimbu road, mtaa wa kwawagogo na Lukobe kutaja kwa uchache na kuwatandika makofi, fimbo ikiwa pamoja na kuwafunga pingu watu waliokuwa wakihoji sababu za kupigwa.
Polisi pia walivamia ndani ya baa wakawatandika viboko wahudumu wa baa, wateja pamoja na kumwaga bia walizozikuta mezani.
Wananchi wanahoji mbona hakukuwa na taarifa ya tahadhali ya kutoruhusiwa
au Katazo la kusherekea mwaka mpya maeneo hayo iliyotolewa kabla?
Labda instruct me huo uzuri unaotaka. Bila shaka polisi kweli wakawa wajinga kwakuwa walipiga wananchi kwa sababu zisizofahamika. Hata hivyo siamini kama JF wajinga km unavyohisi labda wewe usoyependa kusikia ukweli!Eleza vizuri Polisi siyo wajinga kiasi hicho cha kwenda barabarani na bar na kupiga watu ovyo. Usitufanye wajinga wote humu JF!