Wakazi wa manispaa ya Morogoro wafunga 2019 kwa kupigwa na polisi

Mapolisi mengi huwa hayana uwezo wa kiakili wa kutambua jema na baya sijui hii inasababishwa na nini
 
LAbda walitaka kuchomoa betri, Si unawajua?
 
Mkoani Kigoma hali ilikuwa mbaya zaidi, Raia wema wametenguliwa viungo kisa kusherehekea mapokezi ya mwaka mpya.
Inasikitisha sana kuona walinda amani na usalama wakiongoza kuvunja amani.
Jeshi la polisi liazidi kujiweka mbali na raia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eleza vizuri Polisi siyo wajinga kiasi hicho cha kwenda barabarani na bar na kupiga watu ovyo. Usitufanye wajinga wote humu JF!
Labda instruct me huo uzuri unaotaka. Bila shaka polisi kweli wakawa wajinga kwakuwa walipiga wananchi kwa sababu zisizofahamika. Hata hivyo siamini kama JF wajinga km unavyohisi labda wewe usoyependa kusikia ukweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…