Wakazi wa mkoa wa Mara walalamika kuingiliwa kimwili na washirikina

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Taharuki imetanda kwa wakazi wa kijiji cha Nyamuswa wilaya ya Bunda mkoani Mara, baada ya kuibuka kwa watu ambao wanawaingilia kimwili usiku wanawake na wanaume pamoja na watoto wakike kwa njia za kishirikina.

Your browser is not able to display this video.
 
Huko sio mara ya kwanza. Kipindi fulani wapinzani wa mpwayungu yalishawakuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…