Wakazi wa mkoa wa Mara walalamika kuingiliwa kimwili na washirikina

Wakazi wa mkoa wa Mara walalamika kuingiliwa kimwili na washirikina

Screenshot_20230303-211457.png
 
Taharuki imetanda kwa wakazi wa kijiji cha Nyamuswa wilaya ya Bunda mkoani Mara, baada ya kuibuka kwa watu ambao wanawaingilia kimwili usiku wanawake na wanaume pamoja na watoto wakike kwa njia za kishirikina.

View attachment 2536212
maya mambo hayakuwepo huko mara. nahisi muingiliano wa tamaduni na makabila na watu toka maeneo ya pwani ndiyo walioleta masuala ya aina hii. eneo la nyamuswa nalifahamu vizuri sana. hivyo nahisi kuna wahuni hasa watu wa pwani wamehamia hapo. kuna waxchache nawafahamu. ila yote kwa yote acha kazi iendeleee.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Bhita ni bhita mura mnapelekewa moto amang'ana mbuya
 
Back
Top Bottom