KERO Wakazi wa Mpigi Kata ya Maili moja tuna mabomba ila hatuna maji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi ni Mkazi wa Mpigi Muheza Kata ya Maili moja! Tunachangamoto ya maji, tuna mabomba huu Mwaka wa 3 lakini kama unavyoona kwenye hiyo picha ndani ya miaka mitatu yote nimetumia Unit 28.

Tuna muda mrefu hatupati maji tangu mwaka umeanza nimetumia kama unit 3 ambazo nimeshazilipa kwa huu mwaka!

Tunanunua maji mpaka inafika hatua hatuwezi kufanya maendeleo mengine hela yote inaishia kwenye kununua maji. Wahusika watuangalie sana katika hili.
 
Na mtakoma! Kazi iendelee...
 
Wanatakiwa wasimamie vyanzo kule Moro huko watu wanajenga Milimani Gvt imetulia tuuuuluuu.
 
Back
Top Bottom