Mimi ni Mkazi wa Mpigi Muheza Kata ya Maili moja! Tunachangamoto ya maji, tuna mabomba huu Mwaka wa 3 lakini kama unavyoona kwenye hiyo picha ndani ya miaka mitatu yote nimetumia Unit 28.
Tuna muda mrefu hatupati maji tangu mwaka umeanza nimetumia kama unit 3 ambazo nimeshazilipa kwa huu mwaka!
Tunanunua maji mpaka inafika hatua hatuwezi kufanya maendeleo mengine hela yote inaishia kwenye kununua maji. Wahusika watuangalie sana katika hili.