KERO Wakazi wa Mwanza eneo la Isamilo hatuna maji takriban wiki nzima, Serikali iangalie suala hili kwa umakini

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Na mlivyo wajinga mnapiga tiki mwezi oktoba
Kupiga Tiki Ni Siri ya Mmoja Mmoja.
Hivyo Kura Ni Haki Yako.
Utachagua Wa Kumpa Kula Yako.
We. Hata Ukikutana Na Kivuli Ndani karatasi ya kula. Kipe kivuli Itakuwa ni Siri Yako.
Wala Hamna mjinga Tena Katika Huu Ulimwengu. Awae mjinga kapenda mwenyewe. Taa Ziko On
 
Sheikh kawaida sana hiyo miaka ya nyuma katika jiji la Dar huko. Suala la foleni za maji na ugomvi wa kugombania maji labda kama wewe umezaliwa 2000.
Suluhisho sio serikali milele
Chimba kisima cha maji nyumbani kwako au vuna maji ya mvua uyajifadhi kwenye visima
Serikali Ina mambo mengi , Mhe. Jumaa Hamidu Aweso amepeleka mahari ukweni
 
Isamilo ya 90s haikuwa hivi.
Ni Kweli Ila Kadiri Siku,miezi,miaka. Inavyosonga mbele Na Mambo yanabadilika.
Ila Inaelekea kupindukia Mipaka.
Kwa mwendo Huu Tumechoka.
Ni wazawa Ndani ya Nchi.
Ila Tunaishi Kama watumwa.
Na Mfungwa Anayo Afueni Kidogo.
 
Ni Kweli Ila Kadiri Siku,miezi,miaka. Inavyosonga mbele Na Mambo yanabadilika.
Ila Inaelekea kupindukia Mipaka.
Kwa mwendo Huu Tumechoka.
Ni wazawa Ndani ya Nchi.
Ila Tunaishi Kama watumwa.
Na Mfungwa Anayo Afueni Kidogo.
Umeshawi kufungwa hata mwezi na gereza gani useme ni afadhali? Hujajua raha ya uraiani wewe
 
Hapa Kweli Lazima Tupotezewe.
Maana Sisi wenyewe Tunatofahutiana.
Kwa Kila Kitu. Mawazo Yako na Yangu Mbalimbali. Mimi kuwasilisha hili.
Ni Vile Nimeguswa Kama Mwananchi na Mtanzania. Na Mshirika Alieifanya Hiyo Serikal Ilio busy Kuwa Madarakan.
Hivyo Nina Haki Ya Kusikilizwa Na Wakatii.
Kama Vile Wanavyotaraji Niwapandishe.
Tena Ili waendelee Kutuhudumia.
Je' wako Busy na Nini Hasa kama.
Mwananchi Anakosa Huduma Muhimu?
 
Kama una familia huwezi kuwaridhisha na serikali vivo hivyo
Sheikh jiongeze usisubirie serikali utakufa kwa presha na sukari
 
Umeshawi kufungwa hata mwezi na gereza gani useme ni afadhali? Hujajua raha ya uraiani wewe
Halafu Kuhusu Kufungwa.
Hilo Ni Zoezi La Karine.
Usisahau Hata Mitume Na Manabii walifungwa Ila Kwa Mapenzi ya Mola Mlezi.
Wakawa salama. Hivyo Pale Tunapozungumzia Kero za Wananchi.
Kuweni Sirius Basi Utani wekeni Pembeni.
Mimi Ninacho Amini Ndani ya Uwanja Huu.
Waliopo wote Ni Watu Wazima.
Wenye Hekima, Busara,Iman na Mshikamano.
Na Sijareport Kwa Ubaya .
Na Ndo Maana Ya Kutoa wito.
Wangu Kwa Viomgozi wetu.
Hivyo Kuhusu Gereza.
Usiulize Hiyo Ni Nyumba ya Kila mmoja.
Haina Tofahuti na Hospital au Kaburini.
Atatangulia mwenzako Ila Na wewe utafata
 
Kama una familia huwezi kuwaridhisha na serikali vivo hivyo
Sheikh jiongeze usisubirie serikali utakufa kwa presha na sukari
Wakishindwa Wao Tutaomba Nguvu ya Allah.
Halafu Na Sisi Tutawasubiria.
Wajae Katika Mfumo wetu.
 
Nyie ni wakuachwa hivyohivyo kwani mlikwisha sema "hamna deni naye", sasa haya maji mnamdai nani tena! Waongo nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…