luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Anaisoma namba ss iv ananunua limao kwa Ksh 20 mpaka 30.Aipate MK254 kwenye file lake please maana ni mbishi! hata kwa sayansi yetu waafrica haiamini hata kidogo. Yeye anaamini Wazungu tu
Huyo jamaa yupo hapa tz juzi nmekutana nae anakula mihogo ya kukaanga mitamu pale Beach fani hivi.Aipate MK254 kwenye file lake please maana ni mbishi! hata kwa sayansi yetu waafrica haiamini hata kidogo. Yeye anaamini Wazungu tu
Wapumbavu wakubwa hawa wamesababisha limao sasa hivi limefikaTsh 700Pamoja na baadhi ya Wakenya kuwadhihaki majirani zao Tanzania kwa kutumia njia asili za kujikinga na corona mfano matumizi ya malimao, kujifukiza, sasa taarifa ikufikie wakazi wa Nairobi wameanza kutumia njia asili kujikinga na Covid hivyo kupelekea tunda la LIMAO (LEMON) kuadimika na kupanda bei maradufu.
Ah ah usiwatusi wenzako bali uwapendeWapumbavu wakubwa hawa wamesababisha limao sasa hivi limefikaTsh 700
Ndogo hiyo ananunua Kwa ksh70-100Anaisoma namba ss iv ananunua limao kwa Ksh 20 mpaka 30.
Kenya wana maisha magumu sana. Yaani limao moja ni tsh 430 hadi 640 wakati sisi fungu moja lenye limao zaidi ya tano zilizoshiba ni ksh 47 tu.Anaisoma namba ss iv ananunua limao kwa Ksh 20 mpaka 30.
Ngoja nikaangalie jijini mwanzaWapumbavu wakubwa hawa wamesababisha limao sasa hivi limefikaTsh 700
Nani kakufundisha upumbavu ni tucAh ah usiwatusi wenzako bali uwapende
Nashangaa ghafla Zanzibar huku eti ndimu 4 sh 2000 limao 700 kumbe kuna [emoji205]kaaribu baajetiNgoja nikaangalie jijini mwanza
MauaYaani wao hadi limao wanapata Tanzania? Sasa kenya wanalima vitu gani?
Nataman sana kujua nyanya kule wananunua bei ganKenya wana maisha magumu sana. Yaani limao moja ni tsh 430 hadi 640 wakati sisi fungu moja lenye limao zaidi ya tano zilizoshiba ni ksh 47 tu.
Aisee, fursa hiyo, tuwapelekeee wajitibu na corona
Nyanya zote za Magu, busega, bunda, butiama, musoma, tarime soko lake ni kenyaNataman sana kujua nyanya kule wananunua bei gan
Ha ha ha halafu hapo si mpoa karibu yao?Nashangaa ghafla Zanzibar huku eti ndimu 4 sh 2000 limao 700 kumbe kuna [emoji205]kaaribu baajeti
Wamechelewa sana hawa majirani zetu , wanywe pia chai ya tangawizi na michaichai.Pamoja na baadhi ya Wakenya kuwadhihaki majirani zao Tanzania kwa kutumia njia asili za kujikinga na corona mfano matumizi ya malimao, kujifukiza, sasa taarifa ikufikie wakazi wa Nairobi wameanza kutumia njia asili kujikinga na Covid hivyo kupelekea tunda la LIMAO (LEMON) kuadimika na kupanda bei maradufu.