luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
- Thread starter
- #21
Binafsi mi huwa nashangaa kwann hatuna makampuni mengi ya utengenezaji tomatos zenye uboraNyanya zote za Magu, busega, bunda, butiama, musoma, tarime soko lake ni kenya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi mi huwa nashangaa kwann hatuna makampuni mengi ya utengenezaji tomatos zenye uboraNyanya zote za Magu, busega, bunda, butiama, musoma, tarime soko lake ni kenya
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ha ha ha halafu hapo si mpoa karibu yao?
Nataman sana kujua nyanya kule wananunua bei gan
Wakulima was malimau haswa pande za Eastern wamenufaika sana Wanatengeneza hela vinoma a win win to Kenyans, ama ulitaraji tuangamie mtupiku?Wapumbavu wakubwa hawa wamesababisha limao sasa hivi limefikaTsh 700
Hiyo ndio akili ya mwanabiashara...biashara haina Utaifa.Ukitaka utajiri wa chap chap dili na limao, tangawizi na kitunguu saumu kupeleka hapo kenya. Fasta sana hata gari huja -park vizuri mzigo umeshaisha.
Acha ndugu ?Ukitaka utajiri wa chap chap dili na limao, tangawizi na kitunguu saumu kupeleka hapo kenya. Fasta sana hata gari huja -park vizuri mzigo umeshaisha.
Wanalima maua na milungiYaani wao hadi limao wanapata Tanzania? Sasa kenya wanalima vitu gani?
Acha ndugu ?
Na kiukweli siku izi Tz kuna minyanya mengine ukiitazama utazani imetoka israel, yaani kuna mimbegu siku izi ya ajabu sanaSerious mkuu, demand yake ni kubwa sana. Mno yani. Hizo bidhaa zinagombaniwa hatari hapo jirani.
Ninyi c munasubiri dawa ya mabwana zenu sisi hata hiyo chanjo ikitoka hatuna haja nayoWakulima was malimau haswa pande za Eastern wamenufaika sana Wanatengeneza hela vinoma a win win to Kenyans, ama ulitaraji tuangamie mtupiku?
Zote sawa na zote zimehadimikaTofauti ya ndimu na limao ni ipi?
Hiyo tunaita unakubali kiaina hahah,Hehehe mnachekesha, limau nimekua natumia kila siku asubuhi kabla kula chochote kwa miaka kadhaa sasa hata kabla corona haijaja. Kawaida mimi kwa mafua huwa simezi vidonge na kunywa dawa, na sio mimi tu, huku Kenya tunafahamika sana kwenye kuzingatia sana masuala ya afya.
Nimewaambia mara kadhaa sasa kwamba tukiamua kuficha corona kama nyie inafichika tu, maana hadi sasa miezi yote hii hatujafa wengi, hiki kitu kwa namna moja au nyingine hakikuja na nia ya kutugaragaza Waafrika.
Tatizo ni kwamba Kenya hatuwezi kufuata namna ya mnavyofanya mambo huko ya kiujamaa, ambapo watu milioni 60 mnashikiliwa akili na kiongozi, hata wataalam wote hawana la kusema, sisi tumefundishwa kuhoji, huku rais hawezi akaamka mara moja na kufoka foka kwamba corona imeisha na kuchimba mikwara hataki kuiskia ikitajwa, na kuifanya corona iwe kama gonjwa la aibu kwamba mtu akiumwa inabidi kuwa siri ya ndani.
Wakenya tunaweza tukamvuruga rais Uhuru hadi atamani kuihama nchi, sisi tunataka tuhabarishwe hali kama ilivyo, takwimu zitolewe, tupimwe na tuendelee kuchukua tahadhari. Hili ni tatizo la kisayansi haliwezi kutoweka kwa matamko au hasira za rais.
Hehehe mnachekesha, limau nimekua natumia kila siku asubuhi kabla kula chochote kwa miaka kadhaa sasa hata kabla corona haijaja. Kawaida mimi kwa mafua huwa simezi vidonge na kunywa dawa, na sio mimi tu, huku Kenya tunafahamika sana kwenye kuzingatia sana masuala ya afya.
Nimewaambia mara kadhaa sasa kwamba tukiamua kuficha corona kama nyie inafichika tu, maana hadi sasa miezi yote hii hatujafa wengi, hiki kitu kwa namna moja au nyingine hakikuja na nia ya kutugaragaza Waafrika.
Tatizo ni kwamba Kenya hatuwezi kufuata namna ya mnavyofanya mambo huko ya kiujamaa, ambapo watu milioni 60 mnashikiliwa akili na kiongozi, hata wataalam wote hawana la kusema, sisi tumefundishwa kuhoji, huku rais hawezi akaamka mara moja na kufoka foka kwamba corona imeisha na kuchimba mikwara hataki kuiskia ikitajwa, na kuifanya corona iwe kama gonjwa la aibu kwamba mtu akiumwa inabidi kuwa siri ya ndani.
Wakenya tunaweza tukamvuruga rais Uhuru hadi atamani kuihama nchi, sisi tunataka tuhabarishwe hali kama ilivyo, takwimu zitolewe, tupimwe na tuendelee kuchukua tahadhari. Hili ni tatizo la kisayansi haliwezi kutoweka kwa matamko au hasira za rais.
Ndekrepha iv hawa wa kenya wana kula kweli corosho tuwapelekee maziwa ya korosho
Huenda ameshaanza kunywa juice ya limao kimya kimya na hata kujifukiza..luangalila,
Aipate MK254 kwenye file lake please maana ni mbishi! hata kwa sayansi yetu waafrica haiamini hata kidogo. Yeye anaamini Wazungu tu