Wakazi wa Nairobi wanatumia malimao kujikinga na Corona

Wapumbavu wakubwa hawa wamesababisha limao sasa hivi limefikaTsh 700
Wakulima was malimau haswa pande za Eastern wamenufaika sana Wanatengeneza hela vinoma a win win to Kenyans, ama ulitaraji tuangamie mtupiku?
 
Ukitaka utajiri wa chap chap dili na limao, tangawizi na kitunguu saumu kupeleka hapo kenya. Fasta sana hata gari huja -park vizuri mzigo umeshaisha.
Hiyo ndio akili ya mwanabiashara...biashara haina Utaifa.
 
Ndiyo maana limao na ndimu zimeanza kupanda kumbe jirani kaongeza matumizi, kila raheri ila muache kidomo domo kama bakuri la chang'aa
 
Serious mkuu, demand yake ni kubwa sana. Mno yani. Hizo bidhaa zinagombaniwa hatari hapo jirani.
Na kiukweli siku izi Tz kuna minyanya mengine ukiitazama utazani imetoka israel, yaani kuna mimbegu siku izi ya ajabu sana
 
Wakulima was malimau haswa pande za Eastern wamenufaika sana Wanatengeneza hela vinoma a win win to Kenyans, ama ulitaraji tuangamie mtupiku?
Ninyi c munasubiri dawa ya mabwana zenu sisi hata hiyo chanjo ikitoka hatuna haja nayo
 
Hiyo tunaita unakubali kiaina hahah,
Iweje Demand kuongezeka sasa hivi?
Mnakumbuka usingizi kumekucha,
Sisi huku toka Corona imeingia ilikuwa mtu ukienda sokoni unakuja na Mzigo wa maana,
Nakumbuka wakati ule mwezi wa 3 na wa 4 sikutaka mtu atoke home kwaiyo hata sokoni nilienda mwenyewe once kwa wiki aisee, Limau moja ni kama ksh5 hivi, hapo nanunua mzigo wa kutosha na Tangawizi na asali mbichi ya kutosha,
Nakumbuka Vidonge vya Vitamin C viliadimika sana madukani, Ikawa tunakomaa na vyakula vya asili kubust kinga ya mwili, 90% ya Watz praced this dietary intake,
But it worked mzee, we are happier Nation than Ever

Huko Kenya mnasubiri wazungu wawaambie nini cha kufanya hadi leo. Hovyo kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ume make point kidogo yani nakupa 35%, kwanza ningependa kukwambia watu walio shikwa akili yani kama misikule ni nyie wa Kunyaland! Hizi takwimu ambazo zinatoka zimewasaidia nn mpaka sasa maana kama ni system ya more infected countries ambapo mpaka covid-19 imefika Kunyaland hamkupaswa kufuata mbinu hizo hizo za nje ambazo zmeprove failure lakini kwa kuwa hamfikirii mka implement atleast mgetumia mbinu tofauti tungewaona ni watu wa maana so this is what makes us despise 254s. Hold the thought, tuone October itakaaje kwa 254s.
 
Ndekrepha iv hawa wa kenya wana kula kweli corosho tuwapelekee maziwa ya korosho

Hiyo labda watu wa class fulani...hao wenzangu na mimi hamna kitu.. utapata hasara tu. Ukitaka kuuza korosho kenya mpaka uwe na access na supermarket zao. Uwapelekee package zako na price.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…