Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Nimepita Tegeta juzi kuuliza yule kada alitekwa wapi,wale watu mostly waliniuliza "kwani yupo kada wa Chadema alitekwa?"
Halafu yule mmoja akaniambia,"Ah yes,hata mimi nilisikia kwamba alitekwa pale Mbele."
Inaonyesha tukio lenyewe lilifanyika without fanfare na lilikuwa not noticed by many.( Haimaanishi kwamba linapuuziwa.)
Sasa hii ni hali ambayo walinzi wanatimiza majukumu yao ya ulinzi, ukisema unataka walinzi wajisahihishe unaleta utata.
This thing is over. Kama alivyokuwa anasema Afande Misime leo, why do you want escalate it?
Kama ukiona kuna mtu kafanya kosa,you can slap someone on the wrist here or there, lakini hakuna sababu ya kuanzisha vurugu.
Tuwe na Imani na viongozi wetu.
Kama ilivyoandikwa katika Biblia.
Jeremiah 29:11
For I know the plans I have for you,” declares the LORD, “plans to prosper you and not to harm you, plans to give you hope and a future.
Isipokuwa tu tuseme kama unadhani utawatisha wananchi kwa kumuua Ali Mohammed Kibao,basi vile Ali Kibao alivyozikwa itakuwa kama mbegu imepandwa na Ali Kibao kibao watatokea kudai haki zao