A
kabisaFursa hyo kijana tafuta gutha l kukodi nunua boza/tank/pipa/madumu jaza maji ingia msewe upige pesa
Nyie mmekimbilia kupanga huko ili mrahisishe kwenda chuo ndo kimewatokea cha kuwatokea poleni sana.Wakazi wa Ubungo–Msewe, Dar es Salaam tuna changamoto kubwa ya maji kwa sasa kuanzia mwezi wa 12 mwaka 2025.
Kwa sasa maji ya mgao yanaweza toka baada ya wiki 3 au mwezi nayo huwa yanatoka mara moja tu kwa huo muda kuanzia saa saba usiku mpaka saa 10 alfajiri.
Hali imekuwa ngumu kiasi kwamba tunalazimika kununua maji dumu moja la maji kuanzia TSh 1,300–1,500 mpaka maji yafikishwe unapoishi, jambo ambalo ni gharama kubwa kwa wananchi, hasa kwa familia zinazohitaji maji kila siku.
Tunaomba utusaidie kuifikisha sauti hii kwa mamlaka husika, ili tupate majibu ya kweli kuhusu tatizo hili na ikiwezekana tupatiwe suluhisho la kudumu, si kuendelea kutegemea kununua maji kwa gharama kubwa.
Tunaamini ukitupazia sauti yako, ujumbe huu utafika kwa wahusika na hatua zitachukuliwa kwa ajili ya wakazi wa Ubungo – Msewe na maeneo yanayozunguka.
Hiyo ni sawa kwakuwa mnapanga na kodi ni bei rahisi, sisi huku Masaki maji ni kama bure ila kodi ni milioni 3 kwa mwezi.Wakazi wa Ubungo–Msewe, Dar es Salaam tuna changamoto kubwa ya maji kwa sasa kuanzia mwezi wa 12 mwaka 2025.
Kwa sasa maji ya mgao yanaweza toka baada ya wiki 3 au mwezi nayo huwa yanatoka mara moja tu kwa huo muda kuanzia saa saba usiku mpaka saa 10 alfajiri.
Hali imekuwa ngumu kiasi kwamba tunalazimika kununua maji dumu moja la maji kuanzia TSh 1,300–1,500 mpaka maji yafikishwe unapoishi, jambo ambalo ni gharama kubwa kwa wananchi, hasa kwa familia zinazohitaji maji kila siku.
Tunaomba utusaidie kuifikisha sauti hii kwa mamlaka husika, ili tupate majibu ya kweli kuhusu tatizo hili na ikiwezekana tupatiwe suluhisho la kudumu, si kuendelea kutegemea kununua maji kwa gharama kubwa.
Tunaamini ukitupazia sauti yako, ujumbe huu utafika kwa wahusika na hatua zitachukuliwa kwa ajili ya wakazi wa Ubungo – Msewe na maeneo yanayozunguka.
Inasikitisha sana.Wakazi wa Ubungo–Msewe, Dar es Salaam tuna changamoto kubwa ya maji kwa sasa kuanzia mwezi wa 12 mwaka 2025.