kwa nini talaka 3....kwanini isiwe tu wanadai talaka... 3 au 1 whats the difference
kabla cjafungua nkasafisha macho nikijua stail yako ya malenga kumbe leo umekuja kivingine.salama lakini kaka ruta?nimepita kukujulia hali2.
Ndoa za mkeka .....nguzo za ndoa kukamilika ----awepo :kwa walii, mashahidi wawili, mke na mume, kukubali na kuitikia.ina maana ukitimiza haya tuu hiyo ni ndoa halali
sasa swali linakuja hizi ndoa zipo Zanzibar kwa asilimia ngapi ? na zinazodumu hata kwa mwaka ni ngapi?
kwa nini talaka 3....kwanini isiwe tu wanadai talaka... 3 au 1 whats the difference
kwa nini talaka 3....kwanini isiwe tu wanadai talaka... 3 au 1 whats the difference
waache wapeane 2 ruta dini inaruhusu,mie hata kuickia ctaki.ya nini kujipa tabu na libaridi la arachugar mwenzangu akuu.acha 2naoweza kuwaganda 2wagande wanaotaka kuganduka waganduke.that's life.JOJEETA kunijua khali nimefurahi lakini hizi talaka wazionaje?...............................bakhati mbaya au nzuri nilikuwa nimeandaa tenzi kuhusiana na Ma-Ex wanavyo tibua ndoa za watu mara nikakutana na hii mada nikaipenda.................
nzuri sanasio avatar ni picha yangu
lolyz....kulingana na kadhi Mkuu ndoa njema hivi sasa adimu Zenji...............
Rutashubanyuma ..wako wazazi ambao wanalalamika kuhusiana na kadhi mkuu kufungisha hzi ndoa bila wazazi kuridhia na cha ajabu ndoa nyingine zinafungiwa kituo cha polisi sasa kwa akili tuu ya kawaida unategemea matokeo gani kesho kuhusu ndoa hii? ni tatizo kuanzia taasisi za dini ambapo binafsi sielewi kwa kulazimisha watu kuoana kama inaondoa tatizo au inazidisha? hiyo pia ni source nzuri tuu ya talaka
kule unakuta mtu ana wake 3,kazi anayofanya ni kuvua samaki-at local and primitive way,hawezi kukidhi mahitaji ya familia,na anatumia sheria za dini kuforce submission kutoka kwa wake zake-regardless huyo mr yupo right or wrong-
so kwa wanawake wasiopenda kuonewa,lazima wakimbie kwa mtu kama huyu wakajilimie mwani