wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

kabla cjafungua nkasafisha macho nikijua stail yako ya malenga kumbe leo umekuja kivingine.salama lakini kaka ruta?nimepita kukujulia hali2.
 
kwa nini talaka 3....kwanini isiwe tu wanadai talaka... 3 au 1 whats the difference

mtotowamjini............chini ya talaka tatu wanaweza kurudiana lakini zikifika tatu kamwe hawawezi kurudiana..........yaani yamewafika khapo..........
 
Last edited by a moderator:
kabla cjafungua nkasafisha macho nikijua stail yako ya malenga kumbe leo umekuja kivingine.salama lakini kaka ruta?nimepita kukujulia hali2.

JOJEETA kunijua khali nimefurahi lakini hizi talaka wazionaje?...............................bakhati mbaya au nzuri nilikuwa nimeandaa tenzi kuhusiana na Ma-Ex wanavyo tibua ndoa za watu mara nikakutana na hii mada nikaipenda.................
 
Last edited by a moderator:
Ndoa za mkeka .....nguzo za ndoa kukamilika ----awepo :kwa walii, mashahidi wawili, mke na mume, kukubali na kuitikia.ina maana ukitimiza haya tuu hiyo ni ndoa halali
sasa swali linakuja hizi ndoa zipo Zanzibar kwa asilimia ngapi ? na zinazodumu hata kwa mwaka ni ngapi?

lolyz....kulingana na kadhi Mkuu ndoa njema hivi sasa adimu Zenji...............
 
Last edited by a moderator:
kwa nini talaka 3....kwanini isiwe tu wanadai talaka... 3 au 1 whats the difference

mtoto wa mjini 1 mpaka mbili ni sawa na kutengana tu kwa muda. . .kupeana muda wa mapumziko/muda wakujirekebisha. . . .3 ni KUACHANA.

ruta. . . wajibu wao ni kuolewa tena!!!
 
Last edited by a moderator:
JOJEETA kunijua khali nimefurahi lakini hizi talaka wazionaje?...............................bakhati mbaya au nzuri nilikuwa nimeandaa tenzi kuhusiana na Ma-Ex wanavyo tibua ndoa za watu mara nikakutana na hii mada nikaipenda.................
waache wapeane 2 ruta dini inaruhusu,mie hata kuickia ctaki.ya nini kujipa tabu na libaridi la arachugar mwenzangu akuu.acha 2naoweza kuwaganda 2wagande wanaotaka kuganduka waganduke.that's life.
 
mm n miongoni mwa wazanzibar ila nahisi pengine mungekuja mukafanaya research licha ya kujisemea musio yajua ...
 
lolyz....kulingana na kadhi Mkuu ndoa njema hivi sasa adimu Zenji...............

Rutashubanyuma ..wako wazazi ambao wanalalamika kuhusiana na kadhi mkuu kufungisha hzi ndoa bila wazazi kuridhia na cha ajabu ndoa nyingine zinafungiwa kituo cha polisi sasa kwa akili tuu ya kawaida unategemea matokeo gani kesho kuhusu ndoa hii? ni tatizo kuanzia taasisi za dini ambapo binafsi sielewi kwa kulazimisha watu kuoana kama inaondoa tatizo au inazidisha? hiyo pia ni source nzuri tuu ya talaka
 
Ni bora hao wanaoomba TALAKA tatu kuliko wale wanaotengana eti kisa waliapa kutokutengana hata iwe ndoa ngumu vipi baada WANAZINI! ini bora hivi umefanya tathmini huko zenji tu je na hapa bara umeliangalia hilo! tena kuna vichekesho vya kutia aibu! Ndoa nyingi zinazofungwa hapa WANAPOTENGANA maana tunasikia hakuna TALAKA labda ya mahakamni! Mume na mke huishi nyumba moja kwa kisingizio wamejenge wote! basi utacheka mume anaenda kuoa mke mwengine na yule wa zamani aliemtenge yumo humo humo nae anakula share yake katika mali walizochuma na yeye nae anaenda anaolewa na mume mwengine na wanahamia humo humo! jema lipi hapo! je mtoto anafundishwa maadili gani hapo! hebu tuelezeni wachambuzi wa mambo !
 
wamelaaniwa wale woote wenye kuonja kuonja ndoa.kwa mwislam mwenye kuujua uislam na aliyesoma vitabu vinne torati, injili, zaburi, na kuran tukufu pamoja na khadith za mtume muhamad S.W.A amenielewa
 
Wanaume wa zanzibar wengi wao wavivu sana..ndio maana wanataka hata kijitenga ili waje watawaliwe tena wawe wanapata kila kitu bure...wanawake ndio wanajishughulisha mara kwa mara....

Sasa mwanaume hutimizi majukumu yako bado unaleta kisauti...bora mtu ajiombee talaka yake..ni haki yao wacha waitumie.
 
Rutashubanyuma ..wako wazazi ambao wanalalamika kuhusiana na kadhi mkuu kufungisha hzi ndoa bila wazazi kuridhia na cha ajabu ndoa nyingine zinafungiwa kituo cha polisi sasa kwa akili tuu ya kawaida unategemea matokeo gani kesho kuhusu ndoa hii? ni tatizo kuanzia taasisi za dini ambapo binafsi sielewi kwa kulazimisha watu kuoana kama inaondoa tatizo au inazidisha? hiyo pia ni source nzuri tuu ya talaka

Binafsi sipendelei sana NDoa za Mkeka, japo mimi Ni Muislamu, lakini watoto wa siku hizi wamezidi kufanya mambo yasiyofaa, mzazi anaona labda akimfanya vile huenda Binti atatulia, na pia ni katika kuondoa DHIMMA ya Mzazi kuepusha Zinaa. mkumbuke kuwa Zanzibar ni nchi ambayo wakaazi wake ni 95% waislamu na ni wazazi ambao wanaishi kwa misingi ya Dini yao! hivo wanaepusha Zinaa. tatizo kubwa linakuja kwa watoto wa kiume nia yao nadhani ni kufanya Zinaa akimshamchezea Binti akimbie. sasa Mzazi hakubali hili anaona bora amuozeshe! anaepuka Zinaa na pia huenda binti akatulia.
 
kule unakuta mtu ana wake 3,kazi anayofanya ni kuvua samaki-at local and primitive way,hawezi kukidhi mahitaji ya familia,na anatumia sheria za dini kuforce submission kutoka kwa wake zake-regardless huyo mr yupo right or wrong-
so kwa wanawake wasiopenda kuonewa,lazima wakimbie kwa mtu kama huyu wakajilimie mwani
 
watakuwa wanajua wanachokikimbia,huwezi nifanya niamini wanaume wao ni washika dini kiasi kwamba wanawake wawakimbie.
kama wanawake wa visiwani kutwa wapo ndani kwanini wawakimbie waume zao?
 
kule unakuta mtu ana wake 3,kazi anayofanya ni kuvua samaki-at local and primitive way,hawezi kukidhi mahitaji ya familia,na anatumia sheria za dini kuforce submission kutoka kwa wake zake-regardless huyo mr yupo right or wrong-
so kwa wanawake wasiopenda kuonewa,lazima wakimbie kwa mtu kama huyu wakajilimie mwani

Ni sawa sawa na kule kanda za KASKAZINI, mtu anaoa mpaka wake 10 kazi yenyewe ni KULIMA NA KUFUGA, tofauti ipo wapi?
 
Back
Top Bottom