Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna cha madhara wala nini kosa sio la mke wako kama uko hivo basi ulioa huku huja komaaa kiakili maana hizo ni tabia za kivulana ila sio za mwanaume anayejielewa.Kama imetokea umemfanya mdogo wa mke wako hilo ni kosa lako wewe kama wewe. kwa sababu ukisema hivo basi na wake nao wawakatae wadogo zetu sisi wa kiume maana wakiletwa pale watamgonga. Ushauri ukiamua kuoa jaribu sana kua act kama mwanuamie sio mvulana na ukikosea kubali kwamba umekosea na kusaliti hakuna msababishi ni mtu mwenyewe ana amua regardless ni mwanmke au mwanaume
Asante kwa kunielewaHapo umefikiria ila haujatumia elements zote muhimu zinazopeleka situation kama hiyo kutokea.
Nakupa mfano, mkeo anakuwa analazimisha sana wadogo zake kuja kuishi kwake bila sababu za msingi ile hali ninyi mkiwa katika hatua za awali za ujenzi wa familia bora ya kisasa.
Unakunywa kinywaji gani nduguMtu anapigaje mtoto wake wa kuzaa?!
Nimefuatilia hizi story nimebaini baadhi ya wanaume siku hizi wakigundua mwanamke aliwabambikia mtoto na akaja kujua ukweli wanaamua kuwaingilia wale watoto kimwili kama kisasi kwa mkewe kwa kuficha siri na akianza kulalamika wanandugu watahoji nini kimemkuta huyu mwanaume hadi kulala na damu yake then hapo ndipo ukweli unawekwa mezani kesi inayobakia ni ya kukula katoto.
Kuna kesi kama hiyo ya mama ana watoto watatu na mumewe kumbe 1st born sio binti yake maza alikuwa na harakati. Mzee alishapeleka watoto huko kwao ila huyu mkubwa tokea mwanzo walishashtukia sio damu yao.
Miaka imeenda binti akiwa kidato cha tano ndipo moto ukawaka. Kumbe mzee alishaanza kumega binti. Binti alianza kuzinguana na mama yake baada ya kukataa kuendelea na kidato cha 5, akitaka afanye biashara. Mama kapinga mzee kakubali akatoa mtaji. Ule ugomvi ndio ukaja kuibua siri, mama alikuwa kaanza kuvimbiana na mzee binti anapigana vita upande m'moja na baba yake.
Mama akataka kumpasha joto mzee kwa kuwa anatoka out na kuchelewa kurejea mzee akawa halali kabisa home anakuja asubuhi na asiporudi na binti harudi.
Siku ugomvi umewaka mama maneno makali yanamtoka anawatusi anasema kama kama huyo binti unamuona ndie mkeo basi muoe,binti akajibu kwan tumeanza leo, mbona muda mrefu nakusaidia majukumu yako. Maza akaanguka kwa mshtuko.
Mzee akampangishia binti nyumba sehemu nyingine maisha yakaendelea kama kawa.
So wanawake u better be careful nowadays wanaume wameanza kuwa tofauti na ile kawaida waliyowaambia mashangazi wenye ghubu.
Mbona unatetea sana Mkuu?Hakuna cha madhara wala nini kosa sio la mke wako kama uko hivo basi ulioa huku huja komaaa kiakili maana hizo ni tabia za kivulana ila sio za mwanaume anayejielewa.Kama imetokea umemfanya mdogo wa mke wako hilo ni kosa lako wewe kama wewe. kwa sababu ukisema hivo basi na wake nao wawakatae wadogo zetu sisi wa kiume maana wakiletwa pale watamgonga. Ushauri ukiamua kuoa jaribu sana kua act kama mwanuamie sio mvulana na ukikosea kubali kwamba umekosea na kusaliti hakuna msababishi ni mtu mwenyewe ana amua regardless ni mwanmke au mwanaume
Hamna kitu mbaya kama kutoka na office mate/ndugu sijui wa nani nani huko/jirani/shemela wako....piga ua kuna siku itajulikana tuuWatu wanalala na baba wakwe sembuse mdogo.Hata mdogo wa mume ni mume pia mkuu.
Mkuu huu uzi nimeleta kutokana na kisa cha kweli kabisa, ipo hivi.Ni heshima kubwa kumla mdogo wa mkeo, ni mke mdogo huyo.... kimila ukifiwa mkeo unapewa mdogo wake.[emoji39]
Wana shida gani mpaka muwaonee huruma?Tatizo ni huruma sio ujinga
Mkuu umri wako tafadhali uko kwenye 20s au 30s?Mkuu huu uzi nimeleta kutokana na kisa cha kweli kabisa, ipo hivi.
Kuna mzee alioa wakaishi vizuri walikua vizuri kiuchumi kosa la mke wake alibeba sana ndugu zake hususa ni wa kike.
Wadogo zake wa kike walifanya pale nyumbani kama kwao,walioolewa na kuachika wanakuna kukaa kwa dada yao.
Wakati huo kama unavyojua changamoto za ndoa mikwaruzo ya hapa na pale Mzee akawa anatafuna mmoja kisiri siku nyumba kubwa kukiwaka [emoji91]. Aliekuwa anatafunwa akaolewa akabak ambayo kazalia hapo kwa dadake.
Dada yake akaanza kuumwa mpaka kushindwa kufanya kazi wakati huo mdogo mtu anaishi hapo kama nyumbani,dada yake akafa. Nini kiliendelea mzee akachukua jumla na kutia ndani full,sa angefanyaje?
Heb kama wewe ni mwanaume jiweke kwenye nafasi hiyo. Je utamfukuza huyo shemeji yako kisa dadake kafa? Au ataendelea kupiga kaz kama wakati dadake akiwepo?
Hata kama ingekuwa ni mimi nisingeweza kuwa na sauti ya kumfukuza badala yake nareplace tu mchezo unaendelea. Au nasema uongo ndugu zangu?
We unadhani mpaka mtu kaamua kutoka nje ya ndoa anakuwa ajajiandaa kuachika.Maana kwa MTU mwenye upendo na mwenzi huwezi kuwaza kuchepuka kabisa kwa mtazamo wanguHamna kitu mbaya kama kutoka na office mate/ndugu sijui wa nani nani huko/jirani/shemela wako....piga ua kuna siku itajulikana tuu
Issue ya uzinzi huwa inafanyika sirini..ila matokeo yake huoenekana hadharani hata baada ya 1+year.
Ni bora kupiga mechi ugenini tena mbali kabisa,ila yabaki huko huko....ila mechi za nyumbani ni shida tupu.
Sio na tetea dhambi ya kucheat haina kwamba eti aliitegeshea tena mbaya zaidi na mtu wakutoka naye tumbo moja kama ikitokea ume mla mdogo mtu kubali kwamba nimezingua sio unaketa kiswahili kirefu kutaka kuidhiisha uharamu huo. kucheat hakuna sababu mkuu ni kwamba ulitaka na ukafanya at lesta angekua mtu mwingine mtaani yaani mdogo wake mkuu duuhMbona unatetea sana Mkuu?
Tunajua wengine huwa wanategesha tegesha ili apitiwe...
Moyoni kwake anasema nini kimemfanya huyu Bwana × kumpenda dada yake...kumbe anataka kujua.
Kutaka kujua jua..anaingia mkenge alafu inakuwa imoooo,anarudi kwao kulea
Hakuna kama mkeo akitaka kugongwa na mdogo wako hata kama yuko kwa wazaza wako atafanya hivo ila sio kwamba lazima mdogo wako lazima afanye hivo kwa hiyo wewe huna kaka? hujawahi kwenda kwake kama kaka hayupo yuko busy na wewe unaona sawa tuu kumgonga shem kisa kaka hayupo?? au wewe hujawahi kumkaribisha kwako mdogo wako yeyote kwahiyo unataka kusema wamengona mkeo?? suala ni kwamba huo ni usheatni amabao hauhitaji excuse yoyote na mtu amayefanya hivo kaamuaIko hivyo pia kama mume utaleta mdogo wako kwenye ndoa yako na uwe bize na pesa mdogo wako lazima akusaidie kumtibu mkeo. Ndoa ni makubaliano ya wawili tu na makubaliano hayo yanapaswa kuzingatiwa kwa umakini sana. Hakuna haja ya kuanza kukimbizana na ndugu sababu kama ni msaada wape wakiwa kwa wazazi wako.
Mwanaume na tamaa ni kama uji na mgonjwa! Huwezi kutenganisha. Huwa tunatofautiana tu katika kuzidhibiti hizo tamaa! Ila wote tuna tamaa! Na kuacha kabisa haiwezekani.Yaani mwanaume mtu akikupikia au kukufulia unasimamisha? Unapata nyege kisa mtu kakupa maji ya kunywa? Acheni tamaa.