Wake mlioolewa: Kama unaishi na mdogo wako wa kike hapo kwa mumeo kaa ukijua mna-share

Wake mlioolewa: Kama unaishi na mdogo wako wa kike hapo kwa mumeo kaa ukijua mna-share

Umeshawahi kumla shemeji yako?

Pitia huo uzi☝️
Hakuna cha madhara wala nini kosa sio la mke wako kama uko hivo basi ulioa huku huja komaaa kiakili maana hizo ni tabia za kivulana ila sio za mwanaume anayejielewa.Kama imetokea umemfanya mdogo wa mke wako hilo ni kosa lako wewe kama wewe...
 
Wakati mwingine hawa mashem nao wanazid Kwa mitengo kwakweli

Mtu anafunga kanga moja na mnapishana
Seblen kila wakat jaman jaman
 
Yaani mwanaume mtu akikupikia au kukufulia unasimamisha? Unapata nyege kisa mtu kakupa maji ya kunywa? Acheni tamaa.
Tatizo si kupika.
Fikiria umerudi saa 4 usiku shem mdogo ndio anakuletea chakula mke amelala tu. Kumbuka ana macho ya kutokea usingizini na nguo zake

Fikiri anakupokea unapotoka kazini saa hiyo na kukupatia pooole shem na kazi kwa kukuhurumia. Mke amelala tu

Fikiri ndio napiga pasi nguo lkn kibaya zaidi unaruhusu aje bedroom ili afue mashuka na anachukua, we uko sittingroom mme amejipuzisha na shem huyu anjitingisha tu vzr. Mke unanitakaje?
Anainama kudeki chumbani mme amelala. Acheni utani

"Sijaribiagwi" by jembe voice
 
Huyo mwache aongee kirahisi hayajamkuta. Muda mwingi hata kama sio mitego wana makazi mengi mno agu unakuta mke kaz zake anamwachia mpaka mdogo wake afanye,lazma mume apige wote
 
Mkuu huu uzi nimeleta kutokana na kisa cha kweli kabisa, ipo hivi.

Kuna mzee alioa wakaishi vizuri walikua vizuri kiuchumi kosa la mke wake alibeba sana ndugu zake hususa ni wa kike.

Wadogo zake wa kike walifanya pale nyumbani kama kwao,walioolewa na kuachika wanakuna kukaa kwa dada yao.

Wakati huo kama unavyojua changamoto za ndoa mikwaruzo ya hapa na pale Mzee akawa anatafuna mmoja kisiri siku nyumba kubwa kukiwaka [emoji91]. Aliekuwa anatafunwa akaolewa akabak ambayo kazalia hapo kwa dadake.

Dada yake akaanza kuumwa mpaka kushindwa kufanya kazi wakati huo mdogo mtu anaishi hapo kama nyumbani,dada yake akafa. Nini kiliendelea mzee akachukua jumla na kutia ndani full,sa angefanyaje?

Heb kama wewe ni mwanaume jiweke kwenye nafasi hiyo. Je utamfukuza huyo shemeji yako kisa dadake kafa? Au ataendelea kupiga kaz kama wakati dadake akiwepo?

Hata kama ingekuwa ni mimi nisingeweza kuwa na sauti ya kumfukuza badala yake nareplace tu mchezo unaendelea. Au nasema uongo ndugu zangu?
Hahahahhaha

"Au nasema uongo ndugu zangu?"

[emoji23][emoji23]
 
Hiyo ni kweli kabisa! Na siyo upande wa wake zetu tu,hata wewe ukileta mdogo wako wa kiume kukaa hapo ujue mna-share! Yaani kadri inavyowezekana ni kutoruhusu jamaa hao kuja kukaa bila sababu.
Kama n kuwasaidia ni vizuri kuwasaidia wakiwa nyumbani huko huko vijijini.
NDOA NI YA WAWILI TU!
 
Kumtafuna mdogo wa mkeo ni rahisi kuliko kumeza mate. Kuna visa vingi sana vilivyowatokea watu.

Mara nyingi sana huwa tunazungumza na mke wangu changamoto za ndoa ili kujilinda mapema afu badae tukaanza kulaumiana.
 
Kumtafuna mdogo wa mkeo ni rahisi kuliko kumeza mate. Kuna visa vingi sana vilivyowatokea watu.

Hiyo kawaida sana mkuu....Babu yangu mzaa mama alioa mtu(bibi yangu mzaa mama) na mdogowe(mdogo wake bibi)....Yaani babu alivomuoa bibi, mdogo wake bibi akawa anaenda kumsalimu dada yake (bibi), babu akampiga sound, bibi mdogo akajaa, ikawa imeishaaa...ni miaka ya zamani lakini...siku hizi ukifanya hivo watu watakushangaa sana ...
 
Hiyo ni kweli kabisa! Na siyo upande wa wake zetu tu,hata wewe ukileta mdogo wako wa kiume kukaa hapo ujue mna-share! Yaani kadri inavyowezekana ni kutoruhusu jamaa hao kuja kukaa bila sababu.
Kama n kuwasaidia ni vizuri kuwasaidia wakiwa nyumbani huko huko vijijini.
NDOA NI YA WAWILI TU!
Huo ndio utaratibu tuliojiwekea,hata kama atakuja ukute kuna chumba chake,sio sebuleni. Asiwe mtu wa kushinda nyumbani muda mwingi.

Mfano una mdogo wako wa kiume hana mishe,mkeo nae mama wa nyumbani tu. Muda wote wanaangalia muvi wako wote!! Shetani anapenda sana mambo hayo lazima aingi kati tu,tena ukute wewe upo bize na hela lazma mdogo wako akusaidie tu
 
Back
Top Bottom