Wake mlioolewa: Kama unaishi na mdogo wako wa kike hapo kwa mumeo kaa ukijua mna-share

Haya mambo yapo,kuna baba mmoja alimbaka mwanae kabinti ka miaka minne eti kisa mkewe hampi unyumba!!!! Mwanae kabisa wanavyofanana ukimuona huulizi.

Sasa hizi ni akili matope, wanaume wenye ujinga huu kuweni na huruma acheni ujinga,mbona wanawake wako kibao mitaani?kama huwezi kutongoza kanunue Malaya mnafeli wapi?
 
Iko hivyo pia kama mume utaleta mdogo wako kwenye ndoa yako na uwe bize na pesa mdogo wako lazima akusaidie kumtibu mkeo. Ndoa ni makubaliano ya wawili tu na makubaliano hayo yanapaswa kuzingatiwa kwa umakini sana. Hakuna haja ya kuanza kukimbizana na ndugu sababu kama ni msaada wape wakiwa kwa wazazi wako.
 
Ujinga ujinga tu,siku hizi wanaume mna ujinga mwingi,inafikia hatua mnatembea mpaka na watoto wenu wa kuwazaa,mabinti wa kazi
Ndugu wa mke[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Tatizo ni huruma sio ujinga
 
Asante kwa kunielewa
 
Unakunywa kinywaji gani ndugu
 
Mbona unatetea sana Mkuu?

Tunajua wengine huwa wanategesha tegesha ili apitiwe...

Moyoni kwake anasema nini kimemfanya huyu Bwana × kumpenda dada yake...kumbe anataka kujua.

Kutaka kujua jua..anaingia mkenge alafu inakuwa imoooo,anarudi kwao kulea
 
Watu wanalala na baba wakwe sembuse mdogo.Hata mdogo wa mume ni mume pia mkuu.
Hamna kitu mbaya kama kutoka na office mate/ndugu sijui wa nani nani huko/jirani/shemela wako....piga ua kuna siku itajulikana tuu

Issue ya uzinzi huwa inafanyika sirini..ila matokeo yake huoenekana hadharani hata baada ya 1+year.

Ni bora kupiga mechi ugenini tena mbali kabisa,ila yabaki huko huko....ila mechi za nyumbani ni shida tupu.
 
Ni heshima kubwa kumla mdogo wa mkeo, ni mke mdogo huyo.... kimila ukifiwa mkeo unapewa mdogo wake.[emoji39]
Mkuu huu uzi nimeleta kutokana na kisa cha kweli kabisa, ipo hivi.

Kuna mzee alioa wakaishi vizuri walikua vizuri kiuchumi kosa la mke wake alibeba sana ndugu zake hususa ni wa kike.

Wadogo zake wa kike walifanya pale nyumbani kama kwao,walioolewa na kuachika wanakuna kukaa kwa dada yao.

Wakati huo kama unavyojua changamoto za ndoa mikwaruzo ya hapa na pale Mzee akawa anatafuna mmoja kisiri siku nyumba kubwa kukiwaka 🔥. Aliekuwa anatafunwa akaolewa akabak ambayo kazalia hapo kwa dadake.

Dada yake akaanza kuumwa mpaka kushindwa kufanya kazi wakati huo mdogo mtu anaishi hapo kama nyumbani,dada yake akafa. Nini kiliendelea mzee akachukua jumla na kutia ndani full,sa angefanyaje?

Heb kama wewe ni mwanaume jiweke kwenye nafasi hiyo. Je utamfukuza huyo shemeji yako kisa dadake kafa? Au ataendelea kupiga kaz kama wakati dadake akiwepo?

Hata kama ingekuwa ni mimi nisingeweza kuwa na sauti ya kumfukuza badala yake nareplace tu mchezo unaendelea. Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Mkuu umri wako tafadhali uko kwenye 20s au 30s?
 
We unadhani mpaka mtu kaamua kutoka nje ya ndoa anakuwa ajajiandaa kuachika.Maana kwa MTU mwenye upendo na mwenzi huwezi kuwaza kuchepuka kabisa kwa mtazamo wangu
 
Sio na tetea dhambi ya kucheat haina kwamba eti aliitegeshea tena mbaya zaidi na mtu wakutoka naye tumbo moja kama ikitokea ume mla mdogo mtu kubali kwamba nimezingua sio unaketa kiswahili kirefu kutaka kuidhiisha uharamu huo. kucheat hakuna sababu mkuu ni kwamba ulitaka na ukafanya at lesta angekua mtu mwingine mtaani yaani mdogo wake mkuu duuh
 
Hakuna kama mkeo akitaka kugongwa na mdogo wako hata kama yuko kwa wazaza wako atafanya hivo ila sio kwamba lazima mdogo wako lazima afanye hivo kwa hiyo wewe huna kaka? hujawahi kwenda kwake kama kaka hayupo yuko busy na wewe unaona sawa tuu kumgonga shem kisa kaka hayupo?? au wewe hujawahi kumkaribisha kwako mdogo wako yeyote kwahiyo unataka kusema wamengona mkeo?? suala ni kwamba huo ni usheatni amabao hauhitaji excuse yoyote na mtu amayefanya hivo kaamua
 
Yaani mwanaume mtu akikupikia au kukufulia unasimamisha? Unapata nyege kisa mtu kakupa maji ya kunywa? Acheni tamaa.
Mwanaume na tamaa ni kama uji na mgonjwa! Huwezi kutenganisha. Huwa tunatofautiana tu katika kuzidhibiti hizo tamaa! Ila wote tuna tamaa! Na kuacha kabisa haiwezekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…