Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Hapa unaandika hivi lakini unakuta ndani mna siku 2 hamuongei,kwanin asitafute sehemu ya kuipoza? Kama shemeji yupo na wanaongea ndio atamsaidia dadake.We unadhani mpaka mtu kaamua kutoka nje ya ndoa anakuwa ajajiandaa kuachika.Maana kwa MTU mwenye upendo na mwenzi huwezi kuwaza kuchepuka kabisa kwa mtazamo wangu
Ipo siku utakumbuka huu uziSio na tetea dhambi ya kucheat haina kwamba eti aliitegeshea tena mbaya zaidi na mtu wakutoka naye tumbo moja kama ikitokea ume mla mdogo mtu kubali kwamba nimezingua sio unaketa kiswahili kirefu kutaka kuidhiisha uharamu huo. kucheat hakuna sababu mkuu ni kwamba ulitaka na ukafanya at lesta angekua mtu mwingine mtaani yaani mdogo wake mkuu duuh
Hii nayosemea hapa sio ishu ya siku 1 tu...yan umetembelewa na siku hiyo ukafanya,ni safari kidogo. Yani ww jamaa sijui ni mgeni wa mitandao au hata magazeti husomi. Soma kisa hicho cha BBC kwanza huenda ukafunguka akiliHakuna kama mkeo akitaka kugongwa na mdogo wako hata kama yuko kwa wazaza wako atafanya hivo ila sio kwamba lazima mdogo wako lazima afanye hivo kwa hiyo wewe huna kaka? hujawahi kwenda kwake kama kaka hayupo yuko busy na wewe unaona sawa tuu kumgonga shem kisa kaka hayupo?? au wewe hujawahi kumkaribisha kwako mdogo wako yeyote kwahiyo unataka kusema wamengona mkeo?? suala ni kwamba huo ni usheatni amabao hauhitaji excuse yoyote na mtu amayefanya hivo kaamua
Ww una kaa na wadogo (ke) zako wangapi?Sijui kwa nini mnapenda kum potray mwanaume kuwa ni kiumbe 'dhaifu' kisicho na maamuzi when it comes to sex??...yes, sex urge can be controlled, ndio maana hawapandi mbuzi huko barabarani, mchana kweupe....?!...Yaani ushindwe kukaa na ndugu kisa unahofia mumeo atatembea nae? jamani...kama uko kwenye ndoa ya hivi..pole sana...unaweza kufa siku si zako kwa kihoro duuh
Hakuna kama mkeo akitaka kugongwa na mdogo wako hata kama yuko kwa wazaza wako atafanya hivo ila sio kwamba lazima mdogo wako lazima afanye hivo kwa hiyo wewe huna kaka? hujawahi kwenda kwake kama kaka hayupo yuko busy na wewe unaona sawa tuu kumgonga shem kisa kaka hayupo?? au wewe hujawahi kumkaribisha kwako mdogo wako yeyote kwahiyo unataka kusema wamengona mkeo?? suala ni kwamba huo ni usheatni amabao hauhitaji excuse yoyote na mtu amayefanya hivo kaamuaIko hivyo pia kama mume utaleta mdogo wako kwenye ndoa yako na uwe bize na pesa mdogo wako lazima akusaidie kumtibu mkeo. Ndoa ni makubaliano ya wawili tu na makubaliano hayo yanapaswa kuzingatiwa kwa umakini sana. Hakuna haja ya kuanza kukimbizana na ndugu sababu kama ni msaada wape wakiwa kwa wazazi wako.
mkuu si ukubali kwamba ni kosa kwanii utake kuhalalisha uharamu mzee..its wrongHii nayosemea hapa sio ishu ya siku 1 tu...yan umetembelewa na siku hiyo ukafanya,ni safari kidogo. Yani ww jamaa sijui ni mgeni wa mitandao au hata magazeti husomi. Soma kisa hicho cha BBC kwanza huenda ukafunguka akili
This is the point umemaliza kabisa mkuuHakuna cha madhara wala nini kosa sio la mke wako kama uko hivo basi ulioa huku huja komaaa kiakili maana hizo ni tabia za kivulana ila sio za mwanaume anayejielewa.Kama imetokea umemfanya mdogo wa mke wako hilo ni kosa lako wewe kama wewe.
Kwa sababu ukisema hivo basi na wake nao wawakatae wadogo zetu sisi wa kiume maana wakiletwa pale watamgonga.
Ushauri ukiamua kuoa jaribu sana kua act kama mwanuamie sio mvulana na ukikosea kubali kwamba umekosea na kusaliti hakuna msababishi ni mtu mwenyewe ana amua regardless ni mwanmke au mwanaume
Mkuu Samcezar umetiririka sana na mfano ulio hai kabisaMtu anapigaje mtoto wake wa kuzaa?!
Nimefuatilia hizi story nimebaini baadhi ya wanaume siku hizi wakigundua mwanamke aliwabambikia mtoto na akaja kujua ukweli wanaamua kuwaingilia wale watoto kimwili kama kisasi kwa mkewe kwa kuficha siri na akianza kulalamika wanandugu watahoji nini kimemkuta huyu mwanaume hadi kulala na damu yake then hapo ndipo ukweli unawekwa mezani kesi inayobakia ni ya kukula katoto.
Kuna kesi kama hiyo ya mama ana watoto watatu na mumewe kumbe 1st born sio binti yake maza alikuwa na harakati. Mzee alishapeleka watoto huko kwao ila huyu mkubwa tokea mwanzo walishashtukia sio damu yao.
Miaka imeenda binti akiwa kidato cha tano ndipo moto ukawaka. Kumbe mzee alishaanza kumega binti. Binti alianza kuzinguana na mama yake baada ya kukataa kuendelea na kidato cha 5, akitaka afanye biashara. Mama kapinga mzee kakubali akatoa mtaji. Ule ugomvi ndio ukaja kuibua siri, mama alikuwa kaanza kuvimbiana na mzee binti anapigana vita upande m'moja na baba yake.
Mama akataka kumpasha joto mzee kwa kuwa anatoka out na kuchelewa kurejea mzee akawa halali kabisa home anakuja asubuhi na asiporudi na binti harudi.
Siku ugomvi umewaka mama maneno makali yanamtoka anawatusi anasema kama kama huyo binti unamuona ndie mkeo basi muoe,binti akajibu kwan tumeanza leo, mbona muda mrefu nakusaidia majukumu yako. Maza akaanguka kwa mshtuko.
Mzee akampangishia binti nyumba sehemu nyingine maisha yakaendelea kama kawa.
So wanawake u better be careful nowadays wanaume wameanza kuwa tofauti na ile kawaida waliyowaambia mashangazi wenye ghubu.
Fresh tu, tunamgeuza mlupo. Tunapiga kwa zamu, nawaambia na masela kama vipi waje kupiga tu kiroho safi, mke si kaamua kugawa.Iko hivyo pia kama mume utaleta mdogo wako kwenye ndoa yako na uwe bize na pesa mdogo wako lazima akusaidie kumtibu mkeo. Ndoa ni makubaliano ya wawili tu na makubaliano hayo yanapaswa kuzingatiwa kwa umakini sana. Hakuna haja ya kuanza kukimbizana na ndugu sababu kama ni msaada wape wakiwa kwa wazazi wako.
Apple punch mkuuUnakunywa kinywaji gani ndugu
Hapa ndio namwita mangi kwa jeuri, nimekaa nyumba opposite na duka lake. Nataka ajue me ni kidume.Chukua mbili nipe nilipe kwa mpesa hapa[emoji122]