Haya mambo yaacheni tu kama hayajakutokea huwezi amini kuwayanatendeka,, sisi mdogo wetu alijazwa mimba kabisaa na lishemeji letu limemuoa dada yetu na tena wote ni Walimu...

Mbona mi nilikua nakaa Dar afu mdogo wa wife Arusha ila nikamuibukia hukohuko nikamla na tena hata kwangu alikuaga hajawahi kufika tulilianzisha tu fb. Ila si mdogo wa tumbo moja bhana