Solomon David
JF-Expert Member
- Mar 1, 2009
- 1,148
- 17
Sidhani kama alihusika kwa hilo, na kuagiza pombe au kunywa pombe hakumaanishi kuwa u mkristo au la.
Ninawafahamu wakiristo wengi wasio agiza kunywa wala kuuza pombe na nawafaham ''waislam'' wengi wenye kuagiza, kuuza na kunywa pombe.
kama ni kweli basi hivyo ndivyo ilivyo hebu tuhabarishe zaidi, maana inaonyesha una data ambazo hutaki kuweka wazi au huna una hakika nazo, unachokonowa kidogo kidooogo.
We hujui kuwa yule mama ni Mchaga?
Una hakika kuwa huyu mama ni Mchaga?
Huu ni mwanzo tu .... uchunguzi wa kifo cha mwandishi Stan Katabalo ukitoka yatajulikana mengi (kama serikali ya Kikwete itaruhusu public kuyapata haya).
Ndio, haswa
Nao unahusiana na mama mwinyi?
Na watoto wao, pamoja na waziri wa sasa wa ulinzi.Yep ... yeye na mme wake fisadi - AH Mwinyi
Huyu ndiye aliyeanzisha kampuni ya kuagiza Stella Artois akiwa Ikulu. Pia aliagiza Tanesco wasirudishe umeme uliokuwa unakatikakatika mpaka auze majenereta aliyokuwa ameagiza kutoka Uarabuni. Fisadi namba 2.
Na watoto wao, pamoja na waziri wa sasa wa ulinzi.
Yep ... yeye na mme wake fisadi - AH Mwinyi
Kivipi hicho kifo kinahusika na mama mwinyi, tupe data.
Wamefanya nini?
Ufisadi kama wa wazazi wao - Loliondo, wizi BOT, Sheraton, ......... nk
Stan Katabalo aliuwawa - unawajua wahusika wote?
Kivipi hicho kifo kinahusika na mama mwinyi, tupe data.
Mimi siwajui hata mmoja, jee wewe uliyemtaja mama mwinyi kuhusika, unaweza kuwa muwazi zaidi au unapakazia tu?
Loliondo wamefanya ufisadi upi? nini? Bot? Sheraton? naona unataja majina tu, lakini huweki wazi, au huna uhakika na unachokiongea?