Wake wa Marais wetu na Mambo yao

Wake wa Marais wetu na Mambo yao

kupakazia?

Kama huwajui wahusika hata mmoja, unaweza kujua nani ahusiki?

Bado unaamini kuwa huyu mama mwinyi sio mchaga?

Hakuna mahali niliposema siamini kuwa mchaga, nilisema katika jibu la uwali kuwa inawezekana kuwa mchaga kwani Zanzibar hakuna natives. Jee wewe unasemaje?
 
Uchunguzi wako wa kujua ufisadi wa miaka ya nyuma naona umeishia tu kwenye hekalu la Lushoto. Kachambue zaidi utagundua mengi.

Nimeyataja mengi zaidi ya hekalu la lushoto, inaonekana unachambuwa upendaayo na usiyoyapenda unayaacha, na hujajibu hata swali langu moja.

Sina haja ya kuchunguza, yaliyopo yanajulikana.
 
Hakuna mahali niliposema siamini kuwa mchaga, nilisema katika jibu la uwali kuwa inawezekana kuwa mchaga kwani Zanzibar hakuna natives. Jee wewe unasemaje?

Huyu Mama amekaa kichaga chaga na kikristo kristo.

Ongezea kwenye list ya ufisadi - IPTL, wizi ujenzi wa barabara ya mwanza - Dodoma, wizi bandari ya Dar es salaam, wizi wa kukwepa kodi kwa kutumia kigezo cha bandari huru ya zanzibar kuingiza vitu bara - biashara za Mama Siti akiwa ikulu,

Na ile ya Mrema kukamata dhahabu uwanja wa ndege, nk
 
kupakazia?

Kama huwajui wahusika hata mmoja, unaweza kujua nani ahusiki?

Bado unaamini kuwa huyu mama mwinyi sio mchaga?

kupakazia = kutowa shutuma zisizo na uhakika wala ukweli ndani yake, kumpaka mtu matope au mavi.

Wewe unaewajuwa mbona huwataji na umemtaja mama mwinyi tu? una uhakika mama mwinyi anahusika na hicho kifo?

Hili la uchaga, nimeshakujibu, labda jibu hujalipenda?
 
Nimeyataja mengi zaidi ya hekalu la lushoto, inaonekana unachambuwa upendaayo na usiyoyapenda unayaacha, na hujajibu hata swali langu moja.

Sina haja ya kuchunguza, yaliyopo yanajulikana.

Kuna hekalu linajengwa Bagamoyo, kuna hoteli ya kitalii serengeti, kuna majengo Lindi, na mengine mengi yanayojengwa au kununuliwa pwani ya bahari ya hindi yanaendelea sasa hivi.

Endeleza uchunguzi wako kwani bado kuna mengi huyajui.
 
Huyu Mama amekaa kichaga chaga na kikristo kristo.

Ongezea kwenye list ya ufisadi - IPTL, wizi ujenzi wa barabara ya mwanza - Dodoma, wizi bandari ya Dar es salaam, wizi wa kukwepa kodi kwa kutumia kigezo cha bandari huru ya zanzibar kuingiza vitu bara - biashara za Mama Siti akiwa ikulu,

Na ile ya Mrema kukamata dhahabu uwanja wa ndege, nk

Hayo yoote unataja majina tu, una ushahidi kwa hayo?
 
kupakazia = kutowa shutuma zisizo na uhakika wala ukweli ndani yake, kumpaka mtu matope au mavi.

Wewe unaewajuwa mbona huwataji na umemtaja mama mwinyi tu? una uhakika mama mwinyi anahusika na hicho kifo?

Hili la uchaga, nimeshakujibu, labda jibu hujalipenda?

Unajua hata Mkapa anaamini kuwa anapakaziwa. Unajua Chenge alisema kuwa ana vijisenti tu kwenye benki za nje huku akitaka wenye ushahidi waulete.

Kuhusu kifo cha Stan Katabalo, inaonekana kuna mengi unahitaji kuyajua.
 
Kuna hekalu linajengwa Bagamoyo, kuna hoteli ya kitalii serengeti, kuna majengo Lindi, na mengine mengi yanayojengwa au kununuliwa pwani ya bahari ya hindi yanaendelea sasa hivi.

Endeleza uchunguzi wako kwani bado kuna mengi huyajui.

Wewe unayeyajuwa unashindwa kutueleza nini haswa unachotaka kusema/ Labda kwa kuwa hujui ukisemacho au huna moja, hohehahe.

Tanzania nzima kuna majengo yanachipuka kama uyoga, si Bwagamoyo, Serengeti, Lindi wala pwani ya bahari ya hindi pekee. Jee, ulikuwa hutaki watu wajenge? ni jana tu, nilikuwa namuona kwenye luninga JMK akizinduwa upanuzi uliofanywa kiwand acha Saruji Twiga, unafikiri hizo saruji zote zitatumika wapi kama sio kwenye ujenzi wa nchi?

Unanshangaza!
 
Kuna mtu anasema kuwa hekalu la Lushoto sio la fisadi Mkapa bali ni la kampuni ya kuzalisha umeme wa gasi. Wewe unasemaje?
 
Hili swali la ushahidi ndilo mafisadi woote kuanzia Mwinyi, Mkapa ..... hadi kwa Rostam Azizi huwa wanauliza kwa macho makali kabisa.

Hahukumiwi mtu kwa sababu wewe umesema, anahukumiwa mtu kwa ushahidi usio na shaka ndani yake.

Kama vile, ofisi ndani ya Ikulu, inayojulikana na imesajiliwa na ushahidi wa kusajiliwa upo BRELA na watu wameisha itembelea na kufanya nayo biashara. Ushahidi wa KIWIRA upo na mpaka waziri mkuu kakiri hilo. Ushahidi wa hekalu upo, kama umetembelea Lushoto basi haujifichi, waziiii, kinaga ubaga.

Huo wako wewe ni upakaziaji. Kama una ushahidi weka hapa tuuone, kama huwezi basi huna la kutufanya tukubali uandikayo.
 
Na Mkapa nae akamsikiliza, kipindi chake chote alikuwa anangoja majenereta yamalizike!
Mkapa naye ana ufisadi wake aliojifunza kutoka kwa watangulizi wake.
Lakini yeye alizidisha pale alipoita Net Problems ya makaburu.
 
Kuna mtu anasema kuwa hekalu la Lushoto sio la fisadi Mkapa bali ni la kampuni ya kuzalisha umeme wa gasi. Wewe unasemaje?

Huyo mtu simjuwi wala sijawahi kusikia, nijuavyo ni la Mkapa na hiyo kampuni ya kuzalisha umeme wa Gesi ni ya nani? sio ya umeme wa mkaa tena?
 
Naona tumepoteza mada, yametoka kwa mama mwinyi yamerukia kwa JMK mara mkapa. u Hodari sana kwa kukwepa
 
Hahukumiwi mtu kwa sababu wewe umesema, anahukumiwa mtu kwa ushahidi usio na shaka ndani yake.

Kama vile, ofisi ndani ya Ikulu, inayojulikana na imesajiliwa na ushahidi wa kusajiliwa upo BRELA na watu wameisha itembelea na kufanya nayo biashara. Ushahidi wa KIWIRA upo na mpaka waziri mkuu kakiri hilo. Ushahidi wa hekalu upo, kama umetembelea Lushoto basi haujifichi, waziiii, kinaga ubaga.

Huo wako wewe ni upakaziaji. Kama una ushahidi weka hapa tuuone, kama huwezi basi huna la kutufanya tukubali uandikayo.

Inaonekana kama wewe unalinganisha ufisadi wa Mwinyi au Kikwete Vs wa Mkapa. Tukirudi kwa ufisadi wa Kikwete - kuna mifano miwili ambayo iko wazi kabisa - Buzwagi na Richmond.

Una la kusema katika hilo? Au pia nalo linahitaji ushahidi?

Kazi yangu sio kukufanya wewe ukubali mimi niandikayo na sidhani kama ni kazi ya wana JF kufanya wewe au wote hapa tukubaliane.
 
Hili swali la ushahidi ndilo mafisadi woote kuanzia Mwinyi, Mkapa ..... hadi kwa Rostam Azizi huwa wanauliza kwa macho makali kabisa.
Solomon,
Unajua kuna vichwa mie huwa sipendi hata ku-discuss nao! Those heads are already poisoned, and this poison can even take an Engineer, rich man like Osama to be a terrorist. They believe what they believe to be; and that poison is too strong to make their heads/brains hard. Reasoning is a gift of nature, and empowers somebody to be wise.

You already mentioned:
Loliondo = Kila mtu anajua
The first man to do business at the State House - Mr. Mwinyi and Wife
Bust of Gold at the Airport= You need to explain on this?

These are hard heads, and I'd not waste my calories!

Let me ask this other guy: " Do you know during Mwinyi (you wud like me call him Alhaj Ali) had an economy on paralysis?

Let me tell you, all these names were corrupt at their times (irrespectives of their names); Alhaj Ali, and Mr. Ben.

Next time we have to amend a constitution; only native names should appear in our names registrations; and our hardliner friends reasoning will improve, Let say: Mwinyi, Mkapa, Kikwete are the names after our first names, the first names Like Mdundo, Nkapa, and Kiingwendu respectively etc
 
Kwa vile mkapa na first lady wake mwizi wa kichaga wamehadhiriwa na ufisadi wao wa ikulu, mnataka kulazimisha ionekane wote na Mwinyi walifanya ufisadi kama wa mkapa.

Wewe IO unaesema reasoning ni a gift a nature nawewe ungeanza kutoa poison ya kuwa defensive whenever a mushi, njau, massawe, mramba au mchagga unapohusihwa na wizi na ufisadi.

Hebu tupe hizo details za loliondo gate halafu tufananishe na ANBEN kujichukulia KIWIRA.
 
Hii thread imeanzishwa kulichambua dera, ila huo ufisadi ni kisingizio tu. Sikuona sababu ya kuweka picha ambayo haihusiani na ufisadi !!
 
Back
Top Bottom