kupakazia?
Kama huwajui wahusika hata mmoja, unaweza kujua nani ahusiki?
Bado unaamini kuwa huyu mama mwinyi sio mchaga?
Uchunguzi wako wa kujua ufisadi wa miaka ya nyuma naona umeishia tu kwenye hekalu la Lushoto. Kachambue zaidi utagundua mengi.
Hakuna mahali niliposema siamini kuwa mchaga, nilisema katika jibu la uwali kuwa inawezekana kuwa mchaga kwani Zanzibar hakuna natives. Jee wewe unasemaje?
kupakazia?
Kama huwajui wahusika hata mmoja, unaweza kujua nani ahusiki?
Bado unaamini kuwa huyu mama mwinyi sio mchaga?
Nimeyataja mengi zaidi ya hekalu la lushoto, inaonekana unachambuwa upendaayo na usiyoyapenda unayaacha, na hujajibu hata swali langu moja.
Sina haja ya kuchunguza, yaliyopo yanajulikana.
Huyu Mama amekaa kichaga chaga na kikristo kristo.
Ongezea kwenye list ya ufisadi - IPTL, wizi ujenzi wa barabara ya mwanza - Dodoma, wizi bandari ya Dar es salaam, wizi wa kukwepa kodi kwa kutumia kigezo cha bandari huru ya zanzibar kuingiza vitu bara - biashara za Mama Siti akiwa ikulu,
Na ile ya Mrema kukamata dhahabu uwanja wa ndege, nk
kupakazia = kutowa shutuma zisizo na uhakika wala ukweli ndani yake, kumpaka mtu matope au mavi.
Wewe unaewajuwa mbona huwataji na umemtaja mama mwinyi tu? una uhakika mama mwinyi anahusika na hicho kifo?
Hili la uchaga, nimeshakujibu, labda jibu hujalipenda?
Hayo yoote unataja majina tu, una ushahidi kwa hayo?
Kuna hekalu linajengwa Bagamoyo, kuna hoteli ya kitalii serengeti, kuna majengo Lindi, na mengine mengi yanayojengwa au kununuliwa pwani ya bahari ya hindi yanaendelea sasa hivi.
Endeleza uchunguzi wako kwani bado kuna mengi huyajui.
Wewe unayeyajuwa unashindwa kutueleza nini haswa unachotaka kusema/ Labda kwa kuwa hujui ukisemacho au huna moja, hohehahe.
Tanzania nzima kuna majengo yanachipuka kama uyoga, si Bwagamoyo, Serengeti, Lindi wala pwani ya bahari ya hindi pekee. Jee, ulikuwa hutaki watu wajenge? ni jana tu, nilikuwa namuona kwenye luninga JMK akizinduwa upanuzi uliofanywa kiwand acha Saruji Twiga, unafikiri hizo saruji zote zitatumika wapi kama sio kwenye ujenzi wa nchi?
Unanshangaza!
Hili swali la ushahidi ndilo mafisadi woote kuanzia Mwinyi, Mkapa ..... hadi kwa Rostam Azizi huwa wanauliza kwa macho makali kabisa.
Mkapa naye ana ufisadi wake aliojifunza kutoka kwa watangulizi wake.Na Mkapa nae akamsikiliza, kipindi chake chote alikuwa anangoja majenereta yamalizike!
Kuna mtu anasema kuwa hekalu la Lushoto sio la fisadi Mkapa bali ni la kampuni ya kuzalisha umeme wa gasi. Wewe unasemaje?
Hahukumiwi mtu kwa sababu wewe umesema, anahukumiwa mtu kwa ushahidi usio na shaka ndani yake.
Kama vile, ofisi ndani ya Ikulu, inayojulikana na imesajiliwa na ushahidi wa kusajiliwa upo BRELA na watu wameisha itembelea na kufanya nayo biashara. Ushahidi wa KIWIRA upo na mpaka waziri mkuu kakiri hilo. Ushahidi wa hekalu upo, kama umetembelea Lushoto basi haujifichi, waziiii, kinaga ubaga.
Huo wako wewe ni upakaziaji. Kama una ushahidi weka hapa tuuone, kama huwezi basi huna la kutufanya tukubali uandikayo.
Huyo mtu simjuwi wala sijawahi kusikia, nijuavyo ni la Mkapa na hiyo kampuni ya kuzalisha umeme wa Gesi ni ya nani? sio ya umeme wa mkaa tena?
Solomon,Hili swali la ushahidi ndilo mafisadi woote kuanzia Mwinyi, Mkapa ..... hadi kwa Rostam Azizi huwa wanauliza kwa macho makali kabisa.
unasemaje kuhusu hilo Dera?