Wake wa Marais wetu na Mambo yao


Hao watu wa aina ya akina Zongo wako wengi huko wizara ya ardhi, wanagawa kiwanja kimoja kwa watu zaidi ya mmoja, na wanauza upya viwanja vyenye right of occupancy tayari na kutoa hati nyingine, hivyo kusababisha migogoro ya ardhi. Wengine wanajigawia viwanja kibao kwa majina mbalimbali halafu wanaviuza upya. Kuna ufisadi sana hiyo wizara, na inaelekea John Pombe Maghufuli ingemshinda tu, maana "pombe" yake si kali tena, mgema alishasifiwa sasa katujazia maji tu! Huyo Anna Mkapa alitumia mtandao wa kifisadi ambao uko tayari. Wakati tunamlaumu na kumshutumu kwa kufanya ufisadi huu, tujumuishe pia hao walioko kwenye huo mtandao wa kifisadi, na wote walioulea na wanaoulea hadi sasa.
 

Kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa! huoni kama kuna tatizo hapo!!! Unaona huyo fisadi mama Mkapa alizipata kihalali nyumba hizo!!!!

Yaani wewe wakazi wenye nyumba hizo wameuziwa nyumba hizo na wakalipa madeni yao yote ya ununuzi wa nyumba hizo, kumbe Fisadi Mama Mkapa naye alikuwa ameshazifisadi nyumba hizo!!! Kihalali nyumba hizo zilipoamuliwa ziuzwe basi waliostahili kutaarifiwa kwanza kabla ya yeyote yule juu ya uamuzi huo ni wakazi katika nyumba hizo na siyo fisadi Mama Mkapa. Kama anataka kujenga nyumba pale Mbeya ana mapesa aliyoyapata kifisadi chungu nzima awaachie walala hoi nyumba zao na yeye atafute viwanja ili ajenge na sio kukupuakupua mali za walala hoi kila kona ya Tanzania.
 
Lakini mkuu huko Mbeya, hao kina mkapa wanashirikiana na mstaafu wa idara, kwa hiyo careful mkuu wangu!
 
Nilikuwa ninamtahadharisha tu mkuu kama yuko Mbeya kweli, maana huyo mkulu ni noma!

Mkulu hii inanikumbusha mtu mmoja anaitwa Vladimiro Lenin Montesinos Torres. Kama mnajua historia yake basi leo hii mnajua yuko wapi....
 
Lakini ngoja kwanza. Inapokuja kwenye Wahindi, hapo utu unanishinda hata nijitahidi vipi. I mean, wahindi wamezidi kwa kutoa rushwa, hili nalijua!

Hapa tupo ukurasa mmoja, kama ni kuwa mbaguzi basi so be it!
 

Ni kweli kwamba kunamatatizo katika idara ya ardhi kama ilivyo katika idara zingine, lakini hili la Zongo mimi nakataa kabisa, soma maelezo yangu post #15. Si mtetei zongo ila ni jambo lisilowezekana. Wanaopaswa kulaumiwa ni hao wa Wizara ya Ujenzi.
 
Ni kweli kwamba kunamatatizo katika idara ya ardhi kama ilivyo katika idara zingine, lakini hili la Zongo mimi nakataa kabisa, soma maelezo yangu post #15. Si mtetei zongo ila ni jambo lisilowezekana. Wanaopaswa kulaumiwa ni hao wa Wizara ya Ujenzi.

Tatizo letu wadanganyika tunaweka bureaucratic procedures kibao katika systems zisizo-work. Matokeo yake ni kujichanganya katika kutoa maamuzi, ingawa katika suala hili wahusika wametumia upenyo katika system mbovu kufanya maovu yao.

Matatizo ya dizaini hii yasingekuwemo kama serikali yetu ingepunguza milolongo ya kutoa maamuzi.
 
Nziku,
Mkuu wangu yaonyesha wazi kuwa wewe ktk ufisadi haupo kabisaaa. mtu safi na muumini wa dini gani sijui!...
lakini nachotaka kukwambia ni hivi:- Thata siku moja usije mwekea mtu dhamana ya kile anacho/asicho weza kufanya. Tanzania ya leo haineknai wazi kama ile ya zamani hakuna kitu kisichowezekana..halafu tunamzungumzia nani hapa Mama ANNA MKAPA! mkuu huyo Zongo kama ndiye daraja la kuvukia basi atavusha deal..Hivi mkuu umesahau ya Richmond na taratibu zilizokuwa zikitakiwa? Umesahau mkataba ulisainiwa hotelini London bila wananchi wakazi wa Buswagi kufahamu kinachoendelea!..
Nitarudia kusema huyu mama Mkapa hakuna kitu asichokiweza inapofikia maswala ya nyumba ushindwe wewe... Hela yako tu tena basi yeye mwenyewe anaweza kukupa Morgage akumalize kwa interest yaani nyumba zote za serikali anafahamu nani kashika wapi na wapi mipaka yake. Wameisha gawana longtime tunachokiona sisi ni mazingaombwe matupu..Hakuna cha wizara wala mjomba wake city au diwani!
Na hiyo fedha mnayozungumzia (Shy) alikuwa nayo LINI? au biashara hiyo kaianza lini kama sio baada ya awamu ya pili ya Mkapa, maanake kabla ya hapo hakuna nyumba za serikali zilizokuwa zikiuzwa.
 
Mkandara,
ni kweli kabisa i hate ufisadi na mafisadi na swala la kumwekea mtu dhamani duh hapa ninapata shida, yaani hata yasiyowezekana yanawezeshwa, imekuwa nchi ya mauzauza sasa.

But it is real true that the City Council can not sell the govt house unless the Finance commitee and Full Council passed the resolution. Na kwa kuwa vikao vya Full Council vipo open kwa kila mtu, jambo hilo lingekuwa limejulikana mapema.

Kwa jinsi mambo yalivyo itapita miaka kadhaa ya kutokuwa na imani na watendaji wakuu wa Serikali pamoja na viongozi. ni hatari sana
 
shy mbona unatuzingua tena? Yaani mwizi akikuibia mbuzi halafu akaenda kumchinja halafu akarudi na kuuzia nyama yake wewe utanunua tu kwa vile mwizi kageuka mchoma nyama ya mbuzi?

Mmh MwKJJ, wewe ni balaa. Nimesoma huu msemo wako nikataka kuvunja mbavu. Kuna mtu alikuwa pembeni yangu akafikiri ndo naanza kufyatu. Huo ni msemo wa MWAKA.
 

Mzee Mwanakijiji,

Je weye wajua ajizi ya Keyser Soze?

Je wafahamu ile mantiki ya kufanya illogic kuwa logic na logic kuwa illogic or impossible to be possible and possible to be impossible?
 

Bora umedeclare wazi kuwa ni assumption yako.Wewe naona unajaribu kuleta mantiki katika kuhoji ujambazi wa mafisadi,kumbuka kuwa mafisadi hawathamini wala kujali procedure.Cha muhimu kwao ni lengo kutimia,kwa maana hiyo whatever authority that did give that land to the First Lady Fisadi kwa makusudi kabisa hawakufuata utaratibu mradi tu Mama Fisadi apate eneo,kwani nyumba si zilikuwa zinauzwa kwa wafanyakazi waliokuwa wanazikalia muda huo (licha ya ujambazi uliojitokeza)?Mama Fisadi si alikuwa Magogoni bize na ujasiriamali wa ANBEM na TanPower?

Pia ukumbuke kipindi hicho kilikuwa ndicho kilele cha ujambazi na ufisadi ambao haukuwahi kutokea hapa nchini,unadhani wao wangefanya nini muda huo?
 
Wakuu wenye data watuorodheshee 'tujisenti' twa hawa partners ANBEN maana inaonekana list ni ndefu. Nianze na zinazotajwa sana

1. TanPower/Kiwira
2. Bank M
3. Ikulu ndogo Lushoto
4. Hotel SA
5. ...



Ile hoteli iko katika kijiji cha Irente na kila mmoja pale mahali anajua ni ya mstaafu wetu! Inaitwa Irente View Hotel na inapatikana katika www.irenteview.com.
Nyumba yake ya kuishi Lushoto iko katika kijiji cha Mkuzi, njia ya kwenda Mlola na ni jirani kabisa na nyumbani kwa Hassan Ngwilizi.
 
Duh hii sasa balaa huyu mama Kiboko hii nchi anataka anunue yote sasa majengo kibao anahusika nayo hapa Dar pale Kwa Kandoro ile hotel anahusika watu tumelia weeeeee sasa nasikia kamuuzia mfanyabiashara mwingine kama 400mill.Haka mama Hakalidhiki na hizo pesa za pension 80% mmh sasa pesa zote hizo atapeleka wapi na atafanyia nn?jamani uroho mwingine umezidi mpaka MBY ameingia nako mmh!hatujui kwao Moshi huko naona Jmushi anaweza kusema mama huyu kawekeza kiasi gani pale Ushirika Moshi kwani ndo kwao hukoo..
Haya tunaomba full data toka MBY tumwanike huyu mama amezidi kula jasho la wananchi.
 
Ni kweli kwamba kunamatatizo katika idara ya ardhi kama ilivyo katika idara zingine, lakini hili la Zongo mimi nakataa kabisa, soma maelezo yangu post #15. Si mtetei zongo ila ni jambo lisilowezekana. Wanaopaswa kulaumiwa ni hao wa Wizara ya Ujenzi.

Mkuu,

Kama uko Mbeya au unaweza kuwasiliana na idara ya ardhi Mbeya not official waulize kwanini Zongo aliamishwa kutoka Mbeya kwenda Mtwara kwa maombi ya wakuu wake wa kazi. Nimekusaidia clue kwa kuanzia kuonyesha kuwa kila kitu kinawezekana hapa Tz, kalani anaweza kuuza nyumba za serikali bila hata full council kujua.
 
6.Lamada apartments (ilala- amenyang'anya toka posta).

7.Imalaseko zote

Uvumi: baada ya moto moto ya JK ameiuza Lamada apartments kwa Kishimba "mmiliki" wa imalaseko,

Wakuu kuna mdau mmoja alinidokeza kuwa kuna nyumba zimejengwa kama ka kijiji fulani Sam nujoma road karibu na njiapanda ya chuo kikuu (ubungo) mkono wa kushoto ukitokea mwenge kuwa ni za mama ana. Alijenga kwa madhumuni ya kituo cha watoto lakini sikuona kitu kinaendelea hadi nilipoondoka huko labda sasa kuna kitu chocho kinaendelea pale?
 
Ni kweli kwamba kunamatatizo katika idara ya ardhi kama ilivyo katika idara zingine, lakini hili la Zongo mimi nakataa kabisa, soma maelezo yangu post #15. Si mtetei zongo ila ni jambo lisilowezekana. Wanaopaswa kulaumiwa ni hao wa Wizara ya Ujenzi.

mkuu unasahau kuwa serikali haina utamaduni wa kusajili ardhi yake, ardhi ina nyumba na kuna watu wanaishi, kwa zaidi ya miaka kumi,kama wapangaji halafu wamiliki, ujenzi hawna wasiwasi hata kidogo, kwa kuwa ni mali yao. all over the sudden walipouziwa wanaanza process za kumilikishwa, wanaenda manispaa kama stage ya kwanza, huko ndiko wanakutana na kijingi kuwa ardhi mnaoyoomba ina mtu naye ni huyo fisadi, wanakimbilia ujenzi, nao ujenzi wanashangaa, ujenzi mbeya wamewasiliana na katibu mkuu wao, naye anashangaa, sasa mkuu unaliona hili.

kuna habari kuwa huyo bwana zongo aliandika hiyo offer akiwa dsm, alioenda kukutana na huyu fisadi

futilieni mkuu

msajili msajili wa ardhi
kanda ya mbeya
simu 0754 277410
 

mkuu unakaribia ukweli, eneo lile lilikuwa mali ya TTCL, ikaundwa kampuni inaitwa simu 2000, mkurugenzi mkuu ni bwana peter samson maro, huyu ni mtoto wa mama ana mkapa wa kwanza, yule aliyemzaa kabla hajakutana na bwana mkapa, kwa hiyo huyu bwana kajiuzia lile eneo peke yake ndo umeona anafanya vitu vyake pale(kumbuka kuwa simu2000ltd, was tasked to manage the assets of the then ttcl, UKO HAPO MKUU? HABARI NDO HIYO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…