Wake wa Marais wetu na Mambo yao

Wake wa Marais wetu na Mambo yao

mkapa hakuwa na ujanja wowote kwa pesambili mramba kwa sababu hizi
1.0, wakati mkapa akiwa waziri wa mambo ya nje, hakuwa na kibanda zaidi ya nyumba alikokuwa anaishi ambayo serikali ilipangishwa toka national housing, nyumba hii ipo osterbay karibu na agakhan hospital, kwa miaka kadhaa ilikuwa inatumika kama makzi ya waziri wa mambo ya nje

2, mwinyi rais alipofanya mabadiliko ya kwanza ya baraza la mawaziri akamteua diria hassan kwa waziri wa mambo ya nje, mkapa akaundiwa wizara mpya inayoitwa ya habari.
na kama mnakumbuka mramba kiakota akabaki kuwa mwenyekiti wa bodi ya national housing corporation

3. diria hakufanya ajizi akadai apewe ile nyumba. ilibidi mzee mzima aadhirike wakataka kuhamia pagala la mama ana liko kimara, halikuwa limemalizika, hata umeme wala maji hamna.
4. mzee mzima mkapa akamkimbillia mramba amtamfutiie house ya chapu chapu huko NHC, mramba akamwita mwanasheria wa NHC asaidie hili. kumbe serikali ilikuwa kweli imepanga ile nyumba lakini haikuwa inalipa kodi. ikatafutwa lophole, kodi ikalipwa kwa mkupuo kwa jina la mkapa, na NHC, ikatamka kuwa mkapa mdo mpangaji halali wa ile house, mpooo!!!!, yule mwanasheria aliyecheza hiyo simtaji, ila alikuja kuukata sana kwenye utawala wa mkap. mpooo? kwa hiyo mramba akamsadia mzee mzima asidhiriwe na mzanzibar diria

AKUFAAYE WAKATI WA DHIKI?........kama siyo kimbelembele cha mrema kumpaka mramba kule rombo mpaka akashindwa ubunge 1995! mramba angekuwa ndiye waziri mkuu...

YETU MACHOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Ashakum si matusi, MoDs rekebisheni kichwa cha habari, kununua nyuma kikwetu inamaana mbaya kwelii!!!

Re: Mama Ana Mkapa Anunua Nyuma 12 Za Serikali Mbeya
 
Mwikimbi,

In the tradition of strict dedication to accuracy ya JF, nyumba ya karibu na Aga Khan ni Sea View siyo Oysterbay.Oysterbay hakuna Aga Khan na Mkapa hajawahi kukaa Oysterbay.

Halafu Mkapa ana nyumba aliyonunua kwa mkopo wa Benki ya nyumba kama mawaziri wengi wa siku nyingi.Iko mtaa wa Mfaume Upanga karibu na shule ya Olimpio (barabara ina run kutoka Olimpio Primary mpaka huku Mzizima Secondary, I believe it is Mfaume).Alikuwa anakaa wakati akiwa Waziri wa Mambo ya Nje kwa kipindi kirefu sana.
 
Mkuu, may be they are in wrong way. Ukweli ni kwamba ukinunua nyumba ya Serikali unatakiwa kupewa mkataba. Ukikamilisha malipo TBA wanakupatia barua ya kukukabidhi nyumba. Barua hiyo ya makabidhiano unaipeleka Halmashauri (Mkurugenzi wa Jiji) pamoja na barua yako ya kuomba kubadilisha jina la mmiliki ili procesuder za kuandaa hati ziweze kuanza.

Sasa ninamasuali yafuatayo:-
a) Mikataba ya kununua nyumba wanayo?
b) Waliomaliza kulipa wamepewa barua za kukabidhiwa nyumba?
c) Maombi yao ya kumilikishwa wameyapeleka kwa maandishi hapo Halmashauri ya Jiji?
d) kama wamepelea (c) wamejibiwa kwa maandishi? barua za majibu zinasema nini?

Kama hawana majibu ya maswali (a)na (b) hawatakiwi kwenda Halmashuri, kama wamekwenda basi wamekosea, waende kwa aliye wauzia yaani TBA ili awapatie hizo documents.

Kama wanazodoc za swali a na b, wanahaki ya kuibana Halmashauri. pls tupe detail kutoka kwa wahusika za maswali hayo.

1.0 MIKATABA YA KUNUNUA NYUMBA WANAYO
2.0 WALIOMALIZA KULIPA WAKO 4 KATI YA 12, WAMESHAPEWA BARUA
3.0 WAMEPELEKA MAOMBI YAO YA KUTAKA KUMILIKISHWA ARDHI HUKO CITY, NDO WAKAKUTANA NA KIJINGI KUWA ENEO WANALOTAKA KUMULIKISHWA KUNA MTU ANA HATI MILIKI AMBAYE NI HUYU MOTHER
 
Ashakum si matusi, MoDs rekebisheni kichwa cha habari, kununua nyuma kikwetu inamaana mbaya kwelii!!!

Re: Mama Ana Mkapa Anunua Nyuma 12 Za Serikali Mbeya

kwi kwi kwi kwi !! Done. Have a nice day !
 
Mbunge ambaye alilivalia njuga suala la TICTS, Godfrey Zambi, wa Mbozi Mashariki kupitia CCM, amesema mke wa Rais Msataafu Benjamin Mkapa, Anna Mkapa, anaendesha vitendo vya wizi kupitia kampuni anayoiongoza ya BayPort Financial Services.

Kauli ya Zambi, itaibuka kesho kwenye magazeti kwa kuwa wanayoyasema bungeni yanakuwa na kinga. Alisema ndani ya Bunge jana usiku, wakipitisha bajeti ya WIzara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Waziri MAghembe hakuweza kutoa majibu mwafaka kiasi cha wabunge kuguna kuonyesha kutoridhishwa na majibu yake ya kubabaisha.

Mbunge huyo amesema kampuni ya Mama Mkapa na wenzake inawatoza riba ya karibu asilimia 200 watumishi wa kipato cha chini wakiwamo waalimu, kitendo ambacho alisema ni sawa na wizi wa wazi.

Zambi alisema: “Kampuni hii inakopesha watumishi na hususani walimu kwa sababu ndiyo walioleta malalamiko kwangu kule Mbozi, Mwalimu akikopa milioni moja anatudisha milioni tatu, sasa hii ni mikopo ya wapi kama siyo wizi wa waziwazi kwa walimu, na mimi nina mifano Waziri akitaka naweza nikampa hizi taarifa"
 
Last edited by a moderator:
Wenyewe watakuambia ni balance kayi ya risk, demand na supply. Mwalimu alisema hakuna benki iliyorafiki wa maskini.
 
mama Anna Mkapa ni safi.. na Mzindaka atajitokeza na kutaka serikali iseme kitu ili mke wa Rais asidhalilishwe.
 
HTML:
BayPort Financial Services.
wataalamu wa makampu hebu tupeni uhalali wa hii kampuni je haikusajiliwa siku ya sikukuu? na inalipa kodi? kinanani major shareholders? kuna harufu ya fitna hapa.
 
Leo ndio anajua hilo?Tena ni mwizi aliyebobea hao ndugu zake aliwowajaza TRA si ni wizi huo?
 
Riba ya silimia 200? kweli ni wizi! Bravo Zambi kwa kuiweka dhambi hii wazi!

Si hivo tu huyu mama ni mwizi sana, kuanzia nyumba zetu hata kupitia huo mfuko wa fursa kwa wote unao jazwa mabilioni kwa jina la watnanzania kumbe ni zake binafsi. lakini kikubwa zaidi huyu mama pia ameshiriki moja kwa moja kumgeuza mr clean kuwa mr dirty!
 
Nyie mbona mnapenda kupata dhambi?Jamani Mama Mkapa si Mrs Clean?Sasa nyie Clean ina maana hamjui maana yake au......
Na Nyie mnaotaka kumsingizia mama Mkapa na Mfuko wake wa Fursa sawa hajafanya kitu kizuri ntalia na ninyi!!!! Kwi kwi kwi!!!!!
 
kufanya kitu kizuri anaweza kuwa kafanya, hatukatai but tumeambiwa ni MWIZI...sasa sijui mtamtetea kwa lipi?
 
jamani hili swala ajibu mzindakaya mwanafamilia wa mr clean!!!!!

mama mkapa mbona ameiba vidogo jamani hao wa epa mbona hamsemi na yeye si binadamu na anatamani mbona mawaziri wengi tu wameiba na wengine wanaua vijana wetu pale magomeni na sinza kwa pesa nyingi tu haramu na kuna nyumba zinajulikana zinatengenneza mizigo kusafirisha nje!!!!wangapi hawawajui wale vijana pale airport wanaosindikiza wauza unga mpaka mlangoni na kuwapokea mpaka kwenye gari!!!!hizi story nimeahakikishiwa na mmoja wa mdogo wangu yuko usalama alikuwa pale wamempeleka moja ya mashirika ya umma ....

mwacheni alichoona kuchukua nae achekue jamani/!!!!!salimu bado uko dar ????????
 
Kwakweli kama si kinga ya Bunge nadhani Mheshimiwa na kaka yangu God Zambi angeliingia matatani, maana utafiti unaonyesha wazi kuwa si kweli kuwa waalimu hawa wanakopeshwa 1million halafu wanalipa 3million.

Waliompa haya malalamiko wamempotosha kaka Zambi aidha kwa makusudi au na yeye ameamua kusaka pa kutokea ktk siasa za sasa.

Kuna habari kuwa hiyo taasisi itazijibu tuhuma hizo na kwa hakika kama si bunge Zambi kaka yangu angejikuta yuko mahakamani maana language aliyoitumia jana kwa sisi tuliomsikiliza haikuwa na huruma hata kidogo kwa watuhumiwa na ni imani yangu malipizi yake ktk mahakama yangelifanana na kukosekana kwa huruma dhidi ya Zambi.

Otherwise tusubiri tuone na wao watasemaje maana hili linazungumzika kiurahisi na hapo ndipo mwanya utapatikana.
 
We Usiyewezekana wewe!! wewe!!!! shauri yako! Ukiombwa ushahidi wa unayoongea hutajificha kabatini wewe!!! Mzee angalia kijinga cha Moto si cha kuulia Mbu!!!
 
Mbunge ambaye alilivalia njuga suala la TICTS, Godfrey Zambi, wa Mbozi Mashariki kupitia CCM, amesema mke wa Rais Msataafu Benjamin Mkapa, Anna Mkapa, anaendesha vitendo vya wizi kupitia kampuni anayoiongoza ya BayPort Financial Services.

Kauli ya Zambi, itaibuka kesho kwenye magazeti kwa kuwa wanayoyasema bungeni yanakuwa na kinga. Alisema ndani ya Bunge jana usiku, wakipitisha bajeti ya WIzara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Waziri MAghembe hakuweza kutoa majibu mwafaka kiasi cha wabunge kuguna kuonyesha kutoridhishwa na majibu yake ya kubabaisha.

Mbunge huyo amesema kampuni ya Mama Mkapa na wenzake inawatoza riba ya karibu asilimia 200 watumishi wa kipato cha chini wakiwamo waalimu, kitendo ambacho alisema ni sawa na wizi wa wazi.

Zambi alisema: “Kampuni hii inakopesha watumishi na hususani walimu kwa sababu ndiyo walioleta malalamiko kwangu kule Mbozi, Mwalimu akikopa milioni moja anatudisha milioni tatu, sasa hii ni mikopo ya wapi kama siyo wizi wa waziwazi kwa walimu, na mimi nina mifano Waziri akitaka naweza nikampa hizi taarifa"

Wote hawa Fisadi Mkapa na mkewe ni wezi na mafisadi wakubwa. Duh! riba asilimia 200!!!!!!
 
Kwakweli kama si kinga ya Bunge nadhani Mheshimiwa na kaka yangu God Zambi angeliingia matatani, maana utafiti unaonyesha wazi kuwa si kweli kuwa waalimu hawa wanakopeshwa 1million halafu wanalipa 3million.

Waliompa haya malalamiko wamempotosha kaka Zambi aidha kwa makusudi au na yeye ameamua kusaka pa kutokea ktk siasa za sasa.

Kuna habari kuwa hiyo taasisi itazijibu tuhuma hizo na kwa hakika kama si bunge Zambi kaka yangu angejikuta yuko mahakamani maana language aliyoitumia jana kwa sisi tuliomsikiliza haikuwa na huruma hata kidogo kwa watuhumiwa na ni imani yangu malipizi yake ktk mahakama yangelifanana na kukosekana kwa huruma dhidi ya Zambi.

Otherwise tusubiri tuone na wao watasemaje maana hili linazungumzika kiurahisi na hapo ndipo mwanya utapatikana.

Ooooh!! Kwa hiyo na yeye alikuwa anajaribu kujipigapiga ili aingie kwenye orodha ya mashujaa??! Ana kazi kama atalikuwa aliropoka maana hawa jamaa wakipata pakutokea wanakumaliza, amuulize Mtikila!
 
Kwakweli kama si kinga ya Bunge nadhani Mheshimiwa na kaka yangu God Zambi angeliingia matatani, maana utafiti unaonyesha wazi kuwa si kweli kuwa waalimu hawa wanakopeshwa 1million halafu wanalipa 3million.

Tusaidie mzee... huo utafiti ulifanywa lini, na nani, na wapi, na unahusiana vipi na walimu wa jimbo la Zambi?
 
Back
Top Bottom