Wake wa Marais wetu na Mambo yao

nziku,

...hivi uko wapi ndugu yanguuu??.......hivi Tanzania yetu waijua weye kweli?, kama alivyokudokeza Bob Mkandara.........hizo procedure unazo-ongelea......hebu fuatilia issue nyingine ya Kiwira.......sijui kuna zabuni ilitangazwa!!........kumbuka.......only in Tanzania
 

Ebwanee zile nyumba nzuri nzuri pale...lakini kuna watoto yatima wanalelewa pale kwa sasa wandai eti ni Wagerman wanao fadhili kile kituo sasa sijui hapo ni deal la nani.
 

Mkuu, may be they are in wrong way. Ukweli ni kwamba ukinunua nyumba ya Serikali unatakiwa kupewa mkataba. Ukikamilisha malipo TBA wanakupatia barua ya kukukabidhi nyumba. Barua hiyo ya makabidhiano unaipeleka Halmashauri (Mkurugenzi wa Jiji) pamoja na barua yako ya kuomba kubadilisha jina la mmiliki ili procesuder za kuandaa hati ziweze kuanza.

Sasa ninamasuali yafuatayo:-
a) Mikataba ya kununua nyumba wanayo?
b) Waliomaliza kulipa wamepewa barua za kukabidhiwa nyumba?
c) Maombi yao ya kumilikishwa wameyapeleka kwa maandishi hapo Halmashauri ya Jiji?
d) kama wamepelea (c) wamejibiwa kwa maandishi? barua za majibu zinasema nini?

Kama hawana majibu ya maswali (a)na (b) hawatakiwi kwenda Halmashuri, kama wamekwenda basi wamekosea, waende kwa aliye wauzia yaani TBA ili awapatie hizo documents.

Kama wanazodoc za swali a na b, wanahaki ya kuibana Halmashauri. pls tupe detail kutoka kwa wahusika za maswali hayo.
 
nziku,.......ukisoma vyema maelezo ya Mwikimbi......majibu ya maswali yote uliyouliza utayapata
 

only in Tanzania tehe tehe tehe ndo kwa kila kitu? basi tumekwisha, .. lakini bado tunatakiwa kujiridhisha hasa kunapokuwa na gap of information.

Mkuu wangu Ogah, tupo pamoja, katika vita dhidi ya ufisadi na kumkoma nyani.
 
Pamoja na makali ya wananchi, bado hatuna woga wa kuendelea kukomba? Hata hivyo kama ni kweli basi iwekwe bayana
 
Naona kaka fisadi unatumia feelings badala ya facts.Kuna watu wa "dataz' watu wa "hoja" watu wa kurukia habari,washabiki na mwisho wasomaji.
Nadhani ili hii hoja ipate nguvu ni vyema wenye vielelezo kamili na wenye acess na habari hizo kama zilivyokuwa nyingine zilizopita wangetusaidia vielelezo ili kuidhibitisha ama kuikanusha.
Kwa jinsi hii basi ndipo ile iliyo kweli itafahamika.
 
nziku,.......ukisoma vyema maelezo ya Mwikimbi......majibu ya maswali yote uliyouliza utayapata

Hapana Mkuu, nimerudia tena kuisoma post #1, haina majibu ya maswali haya.
 


NIPO MKUU,

Lakini kwa hali hii jamani huyu mama ni hatari kuliko tunavyofikiria. Anahitaji kuundiwa tume kumchunguza na mali zake na alizipataje. Nasikia pia magorofa ya kkoo asilimia zaidi ya 20 anayamiliki yeye. Na pesa za kuyajengea alizipata ktk ule mfuko wa EOTF ambao ulikuwa unachota pesa sehemu mbili
1) Kodi za watanzania
2) Misaada kutoka nje kwa kutumia barua zenye nembo ya ikulu. hapa nasikia alikuwa na kikosi cha vijana (masela) kama papa msofe ambao aliwatumia vilivyo ktk kufoji nyaraka mbalimbali na sahihi kwa ajili ya kujipatia fedha. Kikundi chote cha vijana hawa wanapesa ile mbaya maana gawio walipata la mama kwa kazi walizofanya.

Mimi nashauri huyu mama waandishi wetu wafanye kazi yao ya kuandika habari za uchunguzi kwa kumchunguza huyu mama. Ukweli inasikitisha mmno kuona kuna watu hawawezi hata kumudu ada za shule za watoto wao wanafanywa kuwa daraja la maendeleo ya akina maro.
 
Mkuu nziku,

ukiisoma vizuri post #91 ya mwikimbi (ambayo umei-quote), utaona kuwa miktaba yao ya ununuzi toka Ujenzi haina longo longo (na ndio maana hata Ujenzi mpaka PS wao wanashangaa)......tatizo linaanza pale walipotaka kumilikishwa hilo li-plot ambalo wangeli-subdivide

kama ulishawahi kununua nyumba za ujenzi, utaona kuwa Ujenzi hawauzi nyumba kiholela bila kuwa na mkataba....thus answering your qn a

pili wasingeenda huko halmashauri endapo wangekuwa hawajamalizana na Ujenzi...thus answering your qn b and the rest
 
hawa watu wanatuoneaga sana lakini. sijui kwanini?tutaonewa mpaka lini lakini? hivi suluhisho la hawa watu si kuwapora tu mimali yao yote hiyo ya kifisadi? atanunuaje zile nyumba za mbeya(nimeshaishi mbeya naijua sana hiyo mbeya na kiwira kote huku nakujua), wakati yeye haishi mle wala hajawai kuishi mby?
 
3. Anna kuwa 1st lady
4.Balali kuwa Gavana

hivi jamani, kwanini ikulu yetu iliungua kipindi kile? ni pasi kweli au shot ya umeme? hahahhahaha, inachekesha sana. hahahaha, nimecheka hadi mbavu sina. kuna doc gani walitaka kuzichoma?
 

Biashara siku nyingi kivipi ndugu yangu? Una maana kabla Mkapa hajawa rais huyu mama alikuwa mfanyabiashara? Na kule UNICEF alikokuwa anafanya kazi na kuacha baada ya kuwa first lady ilikuwa ni biashara? Huyu mama biashara kaanza baada ya mumewe kuwa rais.Tena wakati huo alivyokuwa first lady tu,alikuwa anafuatwa sana na wakina Mrs Rupia na kundi lake...wale waliokuwa untouchables enzi za Mwinyi.Mume wake wakati huo alikuwa tofauti kidogo,na alimzuia kujihusisha nao...kumbe labda Mzee wa Uwazi na Ukweli alikuwa na lake!

Swali...hivi hao ANBEN wameshabadilisha address ya kampuni yao huko Brela,au bado ni Magogoni Street?
 

Mkapa hakujitetea bali alibwabwaja, "kubwabwaja" ni kuongea maneno mengi yasiyo na mantiki huku ukitaka watu wayaamini. Kuna sababu gani kwa mtu aliyewahi kuwa rais kurudia neno "uongo" zaidi ya mara tano? Hoja hujengwa kwa kurudiarudia neno mara nyingi!!!
 

Mama yangu................... halafu bado mume anasema yeye si tajiri, halafa JK bado anasema tumuache "mzee" apumzike, halafu JK bado anasema hata mgusa "mzee"

I think this tym inabidi kushirikiana kikamilifu na Mchungaji mtikila mahakamani
 

Wewe unafikriaje - ujue alikubali kurudiana na Mkapa kwa vile alijua ni mtaji tosha wa hatima yake - mimi naamini ufisadi mwingi aloufanya Mkapa - huyu mama alikuwa ndio "catalyst".
 

Watu kama hawa ni walevi wa kangara sijui maneno haya huwa yanaanzia source ipi!! Mie siamini kama ni ubongo.

Kabla ya kuandika hayo tafuta utaratibu wa uzaji wa nyumba ulivyokuwa ili uelewe ujue kwa nini watu wanalalamika hapa.
Kuna mtu kauliza swali zuri sana.Je huyu mama alikuwa anaishi humo na namna gani aliweza kuishi ndani ya nyumba zote 12??

Nakumbuka pia wakati Mrema alipomsimikia huyu mama kuhusu ununuzi wa jengo la NBC.

Nashindwa kujizuia kumtofautisha huyu mama kati ya sura yake, roho na tabia yake. Sidhani kama weusi wake unaishia usoni tu. Nakumbuka nilipomuana wakati wa kampeni 1995 alionekana mtu mwenye Kiburi, jeuri na dharau
.
 
Mama yangu................... halafu bado mume anasema yeye si tajiri, halafa JK bado anasema tumuache "mzee" apumzike, halafu JK bado anasema hata mgusa "mzee"

I think this tym inabidi kushirikiana kikamilifu na Mchungaji mtikila mahakamani


Peter Maro, to insist and further show the degree of undugunaization, ni mtoto wa Anna Mkapa na Basil Mramba. Ilivyogundulika kwamba kuna gross misconduct ilitokea under Peter Maro katika kuuza assets za TTCL, Mkapa aliunda tume kuchunguza utendaji wa Peter Maro (mmtoto wake wa kufikia) na jinsi alivyosimamia uuzaji wa mali za TTCL under simu 2000.

Guess nani alikuwa mkuu wa tume hii ya uchunguzi?

Basil Pesambili Mramba, baba kapewa tume amchunguze mwanawe.Talk of kesi ya nyani kupewa sokwe!
 

Oh my god, hiyo tume ilitangazwa ama waliiunda kisirisiri?

Issue hii nzima imejaa kila aina ya conflict of interest, kuanzia kwa mwenye kutoa uamuzi wa kuunda tume, mwenye kuteua nani awe mwenyekiti wa tume, mpaka kwa wajumbe wote waliokuwemo kamatini. Kilichotakiwa kufanyika the first day ilibidi wajumbe wote either wamwombe Rais abadili mwenyekiti na kumtoa kamatini, ama wao wajiuzuru kamatini. Ama kweli hawa watu hawana aibu, duh!!! Can we get the names of other committee members?

What should we do next? Kama hii story ni kweli basi wanasheria mnaweza kutusaidia kwenye hili. Ikiwezekana ianzishwe kesi mahakamani kupinga ujinga huu na zoezi zima lirudiwe tena. Sisi sio wadanganyika kiasi hiki. We should do something...Hakuna kuachia hii kitu iende kimyakimya.. Wanasheria mtusaidie kwenye hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…