Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
we nimeona uwezo wako wa kuelewa ni finyu sana, unazunguka na screeshots za twitter ambazo hazihusiani na unachoulizwaTwende kwenye mtanange kule, acha kukimbilia huku kwenye petty issue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we nimeona uwezo wako wa kuelewa ni finyu sana, unazunguka na screeshots za twitter ambazo hazihusiani na unachoulizwaTwende kwenye mtanange kule, acha kukimbilia huku kwenye petty issue
Twende kwenye mtanange kule, acha kukimbilia huku kwenye petty issueKenya tuli rebase uchumi wa 2013 na Uchumi ukaongezeka na 25%, mwaka mmoja baadae 2014 Tz pia mkafanya hivyo na uchumi wenu ukaongezeka by 32%!!!....
DECEMBER 19, 2014 / 2:19 PM / 5 YEARS AGO
Tanzania’s GDP expands by 32 pct after rebasing - officials
Tena mwaka huu 2019, mkageuza base year to 2015 wakati huku Kenya bado tunatumia base year ya 2011
![]()
Reuters | Breaking International News & Views
Find latest news from every corner of the globe at Reuters.com, your online source for breaking international news coverage.af.reuters.com
we nimeona uwezo wako wa kuelewa ni finyu sana, unazunguka na screeshots za twitter ambazo hazihusiani na unachoulizwa
Economics haijali feelings zako. Unapoongea mambo ya uchumi weka feelings kando. Wewe kudharau world bank haizuii Kenya kuwa middle income. Tutaendelea kuwa middle income hata ukiliaMm niliwadharau walipo sema Kenya ni middle income c. Wakati watu wanaishi kwa slum
We akili imeruka nini??? mwanzo hio screenshot ni ya nchi gani hio yenye GDP ya $31B ... Hata usinijibu hilo... mimi nilikuulizia takwimu za import exports zenu ukaanza kuniletea screenshot za agriculture sasa umefika energy! ah! hata sijui kwanini najisumbua tena! haya endelea na kazi!Twende kwenye mtanange kule, acha kukimbilia huku kwenye petty issue
Hii ni screen shot ya tweeter? View attachment 1185393
Base year ya Kenya nadhani ni 2009 juu base year lazima iwe 5 years prior to the year when rebasing is taking place. We should be rebasing every 5 years but we don't coz it's expensive and time consuming. Soma third paragraph : https://www.google.com/amp/s/www.fo...r-rebasing-of-its-gross-domestic-product/amp/Kenya tuli rebase uchumi wa 2013 na Uchumi ukaongezeka na 25%, mwaka mmoja baadae 2014 Tz pia mkafanya hivyo na uchumi wenu ukaongezeka by 32%!!!....
DECEMBER 19, 2014 / 2:19 PM / 5 YEARS AGO
Tanzania’s GDP expands by 32 pct after rebasing - officials
Tena mwaka huu 2019, mkageuza base year to 2015 wakati huku Kenya bado tunatumia base year ya 2011
![]()
Reuters | Breaking International News & Views
Find latest news from every corner of the globe at Reuters.com, your online source for breaking international news coverage.af.reuters.com
So when we also change our base year to something like 2014 like Tz changed to 2015, we could actually add new sectors of the economy and potentially add new sectors to the tax brackets..... Lakini we should just hold off for like every 10 years, hakuna haja ya kukimbilia GDP, lets pay more focus to jobs and wealth creationBase year ya Kenya nadhani ni 2009 juu base year lazima iwe 5 years prior to the year when rebasing is taking place. We should be rebasing every 5 years but we don't coz it's expensive and time consuming. Soma third paragraph : https://www.google.com/amp/s/www.fo...r-rebasing-of-its-gross-domestic-product/amp/
Alternatively some rich countries that can afford it rebase every year using a five year moving average.
Yes you are right. GOK haina hio pesa ya every 5 years. Infact year 2009 ilitumika juu pia ni year ya census na census huwa inacollect info mob kuhusu economic conditions of Kenyans and also counting people. They also ask economic questions like how many cows, cars, houses do you own. So my guess is that 2019 will be used as the next base year juu 2019 census ina information mob then the actual rebasing will take place 5 years later in the year 2023. The 5 year moving average includes both the base year itself and the year when rebasing is taking place. So in the 5 year moving average the 1st year ni base year that is 2019 and the 5th year ni year of rebasing that is 2023.So when we also change our base year to something like 2014 like Tz changed to 2015, we could actually add new sectors of the economy and potentially add new sectors to the tax brackets..... Lakini we should just hold off for like every 10 years, hakuna haja ya kukimbilia GDP, lets pay more focus to jobs and wealth creation
Lets all take a minute and laugh at this statement 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂We were there even before you, we didn't rebase our figures because we want special borrowing sympathy kutoka kwa mabeberu na ndio maana tunafanya Makubwa yatayowachukua miaka 100 kufanya.
Lol....REDEEMER ati what?you wanted special borrowing kutoka kwa mabeberu?hivi bongo mbona mnakuanga akili finyu hivi na kuchanganyikiwa mingi...si nyie hushinda mkituimbia humu vile kenya tumeolewa na wazungu,sasa nyie mmeamua kususpend dignity ndio mpewe loan.there is NO DIGNITY in suspending your worth in order to be granted a favour,bure kabisa
Wivu wa kiume huu. Nani amekuzuia kuandika kama yeye???Unakuta unajitutumua na Kingereza halafu unarudi kula sukuma wiki na ugali na kulala kwenye Slum,
Wakenya bwana[emoji2][emoji2][emoji2]
HAWA MABEBERU SIO WA KUAMINI SANA TAKWIMU ZAO WANAZITUMIA KWA KUHARIBU UCHUMI WA NCHI FULANI AU KWA KUUTANGAZA UCHUMI WA NCHI FULANI ,HAIWEZEKANI UCHUMI AMBAO ULIOKUA HATALINI UNAOKUA KWA KUSUASUA HALAFU 2020 UFIKIE KUA UCHUMI WA KATI View attachment 1185133
Siku hizi umekuja na staili mpya ya kuandika kwa msisitizo..!!!😂😂😂😂😂😂😂Wivu wa kiume huu. Nani amekuzuia kuandika kama yeye???
We all know that nairobi is scrammed with slums...game over english is our official language na tutazidi kuiongea,ugali na sukuma wiki is a very balanced diet,lakini i don't expect bongolala kama wewe kuelewa mambo ya diet,no wonder Tz mna suffer stunted growth na other malnutritional disorders,vipi kuhusu Dar 80% ni slum-slummy city.
lol.. Hii tabia ya kubadili monikers utaacha lini? Unaogopa NINI/NANI??????Siku hizi umekuja na staili mpya ya kuandika kwa msisitizo..!!!😂😂😂😂😂😂😂