Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Hawa wanaenda shuleni kusomea ujinga. Hii chorus ya sukuma wiki huwa wanaimba sana unaweza dhani ni dhambi kula sukuma.game over english is our official language na tutazidi kuiongea,ugali na sukuma wiki is a very balanced diet,lakini i don't expect bongolala kama wewe kuelewa mambo ya diet,no wonder Tz mna suffer stunted growth na other malnutritional disorders,vipi kuhusu Dar 80% ni slum-slummy city.
Wao wanakula ugali na chai ya rangi. Mihogo asubuhi ndio maana wanaongoza afrika kwa idadi ya watoto wenye utapiamlo