Wake wanaoamini data za Benki ya Dunia

Wake wanaoamini data za Benki ya Dunia

game over english is our official language na tutazidi kuiongea,ugali na sukuma wiki is a very balanced diet,lakini i don't expect bongolala kama wewe kuelewa mambo ya diet,no wonder Tz mna suffer stunted growth na other malnutritional disorders,vipi kuhusu Dar 80% ni slum-slummy city.
Hawa wanaenda shuleni kusomea ujinga. Hii chorus ya sukuma wiki huwa wanaimba sana unaweza dhani ni dhambi kula sukuma.
Wao wanakula ugali na chai ya rangi. Mihogo asubuhi ndio maana wanaongoza afrika kwa idadi ya watoto wenye utapiamlo
 
Janerose mzalendo hizi bongolala hata hazijui umuhimu wa maziwa,mwendo ni strungi bongolalaland,hata kubalance diet ni shida kwao,nikama watu wako 18th century hivi,socially bongo wanatia huruma sana@babayao 255 sasa nani hajui dar ni slummy city,hata wewe unajua hilo wacha kujitia hamnazo.
 
Papi Chulo skiza hapa wewe brainless bongolala,that thing you call dar is 80% slum,kila mtu anajua hilo,nairobi is a well planned international city with a few scattered slum here and there
Jamaa mbona povu lakutoka sana.. no city in east africa can beat nairobi interms of slums..not dar es salaam,kampala,bujumbura,kigali even addis ababa,in the list of the worst slum in the world,nairobi herself cobtributed 4 hell-like slums apart from huruma slum,dandora,kariobange,mombasa slum,mama mboga,kawangware,githurai and yesterday we discovered something called "Bangaladesh slums"
Nairobi is well-known as slum hub in east africa,and world's number 1 kibera slum
 
Tuoneshe hizo slum sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kutapa tapa hapa.
Janerose mzalendo hizi bongolala hata hazijui umuhimu wa maziwa,mwendo ni strungi bongolalaland,hata kubalance diet ni shida kwao,nikama watu wako 18th century hivi,socially bongo wanatia huruma sana@babayao 255 sasa nani hajui dar ni slummy city,hata wewe unajua hilo wacha kujitia hamnazo.
 
Papi Chulo..tuachishe ujinga wewe bwege,povu kwani mimi ni omo?sasa wewe bongolala what do you know about nairobi,skiza hapa na usikize kwa makini,nairobi city proper has an area of 696km square,hizo slum zote zote zina occupy space ya 6km square...FYI all those slums are located along riparian lands and wetlands,mostly nairobi river,they are illegal,none of the slums are located on proper grounds on which decent buildings can be put up,even kibera is located on a wetland-nairobi dam,its just a matter of time before they all start going down,tuje kwa DAR-about 80% ni informal settlements which is same as slums.
 
About 56% of kenya’s urban population currently lives in slums. Nairobi even hosts one of the Largest slums in Africa, Kibera.
Umeona slums za Dar wewe? Mburahati ,Tandale ,Mwananyamala, Hananasif,Mabibo,Kurasini , Kisarawe ,Yombo Vituka ,Azimio ,Mbagala Kuu,Somangira ......
 
Papi Chulo..tuachishe ujinga wewe bwege,povu kwani mimi ni omo?sasa wewe bongolala what do you know about nairobi,skiza hapa na usikize kwa makini,nairobi city proper has an area of 696km square,hizo slum zote zote zina occupy space ya 6km square...FYI all those slums are located along riparian lands and wetlands,mostly nairobi river,they are illegal,none of the slums are located on proper grounds on which decent buildings can be put up,even kibera is located on a wetland-nairobi dam,its just a matter of time before they all start going down,tuje kwa DAR-about 80% ni informal settlements which is same as slums.
You are so talkative my friend,the most of kenyans in urban area live in slums,almost 56% of nairobians
 
Umeona slums za Dar wewe? Mburahati ,Tandale ,Mwananyamala, Hananasif,Mabibo,Kurasini , Kisarawe ,Yombo Vituka ,Azimio ,Mbagala Kuu,Somangira ......
Kama hizo ulizotaja ni slums basi zile kibera,dandora,kawangware sijui tuziiteje..!!
 
Back
Top Bottom