Wake za watu mnajirahisha sana

Ukweli huwa unauma na ni watu wachache wanaokubali kusikia ukweli wao mbaya.

Nimejikuta nacheka na jinsi ID za kiume zilivyomjibu mtoa mada, yeye kaleta ukweli na wao wakampa ukweli..... hehehehee

Life is the way you take it and live.
Mi nawashtua wanaume wenzangu waliotangulia kuoa waache kuchukulia poa wake zao wanaliwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyewe umeona umeongea vya maana!! Sasa hapo una tofauti gani na hao unaowalaumu?

Be you.
 
Watu mnaotembea na wake za watu, girlfriends za watu, watoto wa shule na mashoga uwa Napata shida sana kuelewa jinsi hamwaoni hawa single ladies wanavyosumbua watu mtaani.
 
Watu mnaotembea na wake za watu, girlfriends za watu, watoto wa shule na mashoga uwa Napata shida sana kuelewa jinsi hamwaoni hawa single ladies wanavyosumbua watu mtaani.
Tatizo unapomtaka hakwambii kama kaolewa au ana mchumba kinachowasumbua ni tamaa hamna kingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo unapomtaka hakwambii kama kaolewa au ana mchumba kinachowasumbua ni tamaa hamna kingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama alikuficha hilo ni suala lingine, nimewahi kupata mdada alikuwa na Boy friend wake nilivyogundua nilimwaacha the same day japo alikuwa mwanamke mrembo sana. Kwangu ni bora ufanye the right thing kuliko kuendekeza nyg.
 
Watu mnaotembea na wake za watu, girlfriends za watu, watoto wa shule na mashoga uwa Napata shida sana kuelewa jinsi hamwaoni hawa single ladies wanavyosumbua watu mtaani.
Inategemea na hulka ya mtu,kutembea na mke/mme wa mtu ni kutokujielewa tu
 
Kuwa wadau watakuambia"hongera kwa kujenga na kuishi kwako"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…