ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 16,993
- 65,237
[emoji23][emoji23][emoji23]vishawishi nimekataa shindwaNdoa yako ni kama yangu acha kuibania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]vishawishi nimekataa shindwaNdoa yako ni kama yangu acha kuibania.
Utakuja kunikumbuka.[emoji23][emoji23][emoji23]vishawishi nimekataa shindwa
Mi nawashtua wanaume wenzangu waliotangulia kuoa waache kuchukulia poa wake zao wanaliwa sanaUkweli huwa unauma na ni watu wachache wanaokubali kusikia ukweli wao mbaya.
Nimejikuta nacheka na jinsi ID za kiume zilivyomjibu mtoa mada, yeye kaleta ukweli na wao wakampa ukweli..... hehehehee
Life is the way you take it and live.
Labda baby akifa[emoji2088]Utakuja kunikumbuka.
Kwani kwani kwani au ngoja niache nilijua nareply comment ya mke wa......Labda baby akifa[emoji2088]
[emoji23][emoji23][emoji23]tuishie tu hapaKwani kwani kwani au ngoja niache nilijua nareply comment ya mke wa......
Tuishie hapa ila ujinga uendelee mpaka mmeo atushike.[emoji23][emoji23][emoji23]tuishie tu hapa
Mi sipo kwenye ndoa au sina mkataba wowote wa kimahusiano nipo freeMwenyewe umeona umeongea vya maana!! Sasa hapo una tofauti gani na hao unaowalaumu?
Be you.
Pole.Mi sipo kwenye ndoa au sina mkataba wowote wa kimahusiano nipo free
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyooooo!
Watu mnaotembea na wake za watu, girlfriends za watu, watoto wa shule na mashoga uwa Napata shida sana kuelewa jinsi hamwaoni hawa single ladies wanavyosumbua watu mtaani.Kuna wimbi la wake za watu kujirahisisha kwa wanaume nashindwa kufahamu nini tatizo au ndio wanajutia ndoa wanaamua kuja kutafuta faraja nje ya ndoa au ni umalaya maana wengine wanatimiziwa kila mahitaji yao na wanahali nzuri ila ukigusa tu anakuganda mfano halisi hapa mtaani mi nimebahatika kujenga naishi kwangu ila bado sijaoa sa kifupi nimeshawapakua wake za watu wenye hali nzuri tu zaidi ya 4 na wengine wapo pending mwingine kanifuata inbox FB na kuniambia anahitaji tumeet na mme wake namuheshimu sana pia alishatembea na best angu akamtumia hadi picha ya uchi na nikaiona.. kiukweli hili inatufanya vijana tuchelewe kuoa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo unapomtaka hakwambii kama kaolewa au ana mchumba kinachowasumbua ni tamaa hamna kingineWatu mnaotembea na wake za watu, girlfriends za watu, watoto wa shule na mashoga uwa Napata shida sana kuelewa jinsi hamwaoni hawa single ladies wanavyosumbua watu mtaani.
Kama alikuficha hilo ni suala lingine, nimewahi kupata mdada alikuwa na Boy friend wake nilivyogundua nilimwaacha the same day japo alikuwa mwanamke mrembo sana. Kwangu ni bora ufanye the right thing kuliko kuendekeza nyg.Tatizo unapomtaka hakwambii kama kaolewa au ana mchumba kinachowasumbua ni tamaa hamna kingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na hulka ya mtu,kutembea na mke/mme wa mtu ni kutokujielewa tuWatu mnaotembea na wake za watu, girlfriends za watu, watoto wa shule na mashoga uwa Napata shida sana kuelewa jinsi hamwaoni hawa single ladies wanavyosumbua watu mtaani.
Mi nawashtua wanaume wenzangu waliotangulia kuoa waache kuchukulia poa wake zao wanaliwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app