maalimu shewedy
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 860
- 691
HahahahahahahahahahahaHamu imemuishaa anawaza wanae
Mtumishi katubu ukimuangalia mwanamke kwa tamaa ushazini naeJamani sasa sisi wapenda mauno tukayapatie wapi? na dini ishakataza kutoka nje ya ndoa? Na hawa mashemeji zetu tunaoishi nao full mitego khanga moja anapita mbele yako mimate inakutoka, ubb.oo kuusimamisha. Wengine wazee wa kanisa jamani, tunahesabu sadaka kanisani pia tuna udhu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wakati wa uchumba tulikuwa tunapiga kampeni nishapata uraisi kampeni za nini tena?
watoto wawili anachoka kulea jamani na usiku tena akatike loh mbona hivyo.. embu anza wewe kukatika mkuu
Tupeane zamu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwahyo unataka Na yeye amekate Mauno
Kazi anayo inabidi atafute mwalimuTupeane zamu
Namfunda mimiKazi anayo inabidi atafute mwalimu
Duuuh kwahyo kazi kwake sasa...Namfunda mimi
Ndiyo mkuuDuuuh kwahyo kazi kwake sasa...
Daah wameshazoea mechi za mchanganiiWakati wa uchumba ulikuwa unajitahid kukata " mauno " mwanzo - mwisho mpaka nikasema hapa nimepata. Sasa tumefunga ndoa na una watoto wawili ndani, lakini mauno umesitisha, kulikoni?
Yaani in-short care na utundu kitandani umepungua kama sio kupotea kabisa. Jamani mnataka twende wapi sisi wa ndoa ya mke mmoja? Bora wenzetu wa upande wa pili wanaruhusiwa wake wanne at a time, pia kwao talaka imeruhusiwa tofauti na sisi huku.
Wake zetu badilikeni.
cc. Baba Paroko,
Bcc. Askofu, Nabii, mtume, Dr....
Kumbe hii ndio sababu.Hamu imemuishaa anawaza wanae
Bado hujakua mkuumie mwanamke akate asikate kwangu poa ila chamuhimu utamu kila mtu apate nakuridhika