joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Poleni sana majirani, ila hii Corona imewaonyesha uwezo wenu na udhahifu wenu kama nchi katika kukabiliana na majanga, sasa ninadhani kwa wakenya wengi wanajua kwamba kwa kipindi kirefu walikua wanadanganywa na viongozi wao kuhusu uwezo wa Kenya ukilinganisha na majirani wake.