Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Kenya ni nchi dhaifu lakini bado ina uchumi karibu mara dufu yenu? Doh! Mazingaombwe haya!Hao ndivyo walivyo, ila sasa hivi wengi wao wamejua ukweli kwamba nchi yao ni nchi ya hovyo sana, sio kama walivyokua wakiaminishwa na "media" pamoja na viongozi wao kwa miaka mingi, ukabila, rushwa, njaa, Alshabaab na hii Corona, imedhihirishwa wazi kwamba Kenya ni nchi dhahifu haina uwezo kabisa wa kutatua matatizo yake