joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hao ndivyo walivyo, ila sasa hivi wengi wao wamejua ukweli kwamba nchi yao ni nchi ya hovyo sana, sio kama walivyokua wakiaminishwa na "media" pamoja na viongozi wao kwa miaka mingi, ukabila, rushwa, njaa, Alshabaab na hii Corona, imedhihirishwa wazi kwamba Kenya ni nchi dhahifu haina uwezo kabisa wa kutatua matatizo yakeHawa ndio walikuwa wakiwaombea Watanzania mabaya, kutukejeli pamoja na kututukana matusi ya kila namna huku wakikejeli njia tulizo kuwa tunazitumia kupambana na kirusi huku wakijiona kuwa wapo sahihi?
Kuna uzi mmoja nili post lakini nilikula mapovuPoleni sana majirani, ila hii Corona imewaonyesha uwezo wenu na udhahifu wenu kama nchi katika kukabiliana na majanga, sasa ninadhani kwa wakenya wengi wanajua kwamba kwa kipindi kirefu walikua wanadanganywa na viongozi wao kuhusu uwezo wa Kenya ukilinganisha na majirani wake.
MK254 njoo unaitwa huku ujibu!! Imekuaje taifa kubwa la Afrika Mashariki limeshindwa kupambana na kagonjwa kadogo kama Covid-19?Poleni sana majirani, ila hii Corona imewaonyesha uwezo wenu na udhahifu wenu kama nchi katika kukabiliana na majanga, sasa ninadhani kwa wakenya wengi wanajua kwamba kwa kipindi kirefu walikua wanadanganywa na viongozi wao kuhusu uwezo wa Kenya ukilinganisha na majirani wake.
Wakenya tuko nateseka na corona imebamba kila kona please dua zenyu ni muhimu mazee.Poleni sana majirani, ila hii Corona imewaonyesha uwezo wenu na udhahifu wenu kama nchi katika kukabiliana na majanga, sasa ninadhani kwa wakenya wengi wanajua kwamba kwa kipindi kirefu walikua wanadanganywa na viongozi wao kuhusu uwezo wa Kenya ukilinganisha na majirani wake.
Hongera kwa kujua ukweli, Kenya hamhawahi kupata kiongozi mwenye akili nzuri ukiacha Kibaki, tatizo mlikua mnajazwa ujinga kwamba Kenya ni nchi bora Africa Mashariki na ninyi wenyewe mliamini.Wakenya tuko nateseka na corona imebamba kila kona please dua zenyu ni muhimu mazee
Tuko na viongozi wajinga sana huku,bora yenyu Tanzania nakuja chukua citizenship mazee
Wakawa wanampigia JPM simu eti wampe ushahuri wa namna ya kupambana na kirusi [emoji23][emoji23][emoji23]Hao ndivyo walivyo, ila sasa hivi wengi wao wamejua ukweli kwamba nchi yao ni nchi ya hovyo sana, sio kama walivyokua wakiaminishwa na "media" pamoja na viongozi wao kwa miaka mingi, ukabila, rushwa, njaa, Alshabaab na hii Corona, imedhihirishwa wazi kwamba Kenya ni nchi dhahifu haina uwezo kabisa wa kutatua matatizo yake
Sasa hapo uchague moja, uende bongo kwenye mauaji ya kidhalimu au ubaki hukohuko 254 upambane na hali ya corona?Wakenya tuko nateseka na corona imebamba kila kona please dua zenyu ni muhimu mazee
Tuko na viongozi wajinga sana huku,bora yenyu Tanzania nakuja chukua citizenship mazee
Kufeni tu, si mnajifanya wajuaji; haya tuone sasa.Wakenya tuko nateseka na corona imebamba kila kona please dua zenyu ni muhimu mazee.
Tuko na viongozi wajinga sana huku,bora yenyu Tanzania nakuja chukua citizenship mazee.