Wakenya 32 waliowekwa karantini watoroka, hawajulikani wakikokwenda

Bwahahahahahha yani imebidi hadi WB itoe taarifa kukana huu ujinga wa watanzania!!! hahahahaha, aibu gani hii
 
Mimi niliingia Kenya kutokea Tanzania mwishoni mwa mwezi wa tatu na sikukaa karantini yoyote ile...Hizo karantini utakaa tu kama huna haraka ya kupiga mishe zako
Wakati huo ilikua ni jukumu la msafiri kujifanyia "self quarantine" na kulinda binadamu wengine..... Wewe ndo mmoja wao waliosababisha Serekali kuamuru "mandatory quarantine" kwa kila alietoka nje baada ya kuona watu hawachukui hatua zozot kulinda wenzao
 
aliye ndani atoke arudi mkoani kwake.
Hapa sijakubali kidogo.
Warudi kwao kusambaza ugonjwa mahalia ambako haupo kama wamesha ambukizwa tayari, bado tu kuonesha dalili?
 
Mimi niliingia tarehe 31/03, niliona taarifa ilikuwa inasema mandatory quarantine inaanza tarehe 25/03, na hata mwenyeji wangu aliniambia hivyo ila alinisaidia kuizunguka tu kirahisi hiyo quarantine nilikuwa nakatiza mitaa ya Eldoret na nilicommment kwenye thread mojawapo humu tarehe 01/04.
 
Kenya's coronavirus cases rise to 216

Ambia Uhuru aboreshe huduma Quarantine areas badala ya kulipa wasanii!

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy
Nchi ambazo "hazina corona" kwa wingi Africa ni akina South Sudan, Burundi, Gambia, Sierra Leone , Central Africa, Eswatini....etc Yani nchi ambazo hazina uwezo wowote, Kwahivyo enda ambia Magufuli apime watu badala ya kujidanganya eti hamna mlipuko wa corona!
Corona si ugonjwa wa kujisifia sifia, Huu ugonjwa uko na real karma , hata South Korea walipigana na corona hadi wakashinda, alifu walipolegeza wakapatwa na second wave ya new outbreak!

Wewe keti hapo ukijigamba,Mwezi ujao tutakua hapa utanipigia hadithi kuliendaje
 
NAkumbuka niliona comment kama hio hapa JF hata MK254 akawa anacheka hio story, Ukishavuka hapo airport bila kuekwa kwa quarantine basi hakuna namna yoyote ya kushikwa na uwekwe ndani ya quarantine labda wananchi wakuripoti kwa polisi kwamba unazunguka mtaani na umetoka 'majuu' hivi karibuni
 
Sisi sio wendawazimu kama ninyi ambao mnaacha kuchukua hatua muhimu na madhubuti za kupunguza maambukizi kama kuimarisha maeneo ya karantini badala yake mnaweka nguvu katika kupima jambo ambalo halisaidii katika kupunguza maambukizi.

Jambo moja lazima mkubali kwamba Tanzania hatukurupuki, tunajipanga na kufikiria sana kabla ya kuamua kufanya jambo lolote, imetokea hivyo katika SGR, tunajenga ya kisasa zaidi kwa bei nafuu, na sasa inatokea katika mapambano ya Corona, tunafanya vizuri na tutawashinda mwisho wa huu ugonjwa.

Tanzania itakuwa na idadi ndogo ya maambukizi na vifo vya Corona ukilinganisha na Kenya wakati ugonjwa utakapokua umetoweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

karantine bado hawakuwa wanethibitika kuwa na maambukizi, so huenda wapo salana.
 
Bwahahahahahha yani imebidi hadi WB itoe taarifa kukana huu ujinga wa watanzania!!! hahahahaha, aibu gani hii
Wanaona sifa kujiletea aibu za kujitakia. Alafu sio mara ya kwanza, kuna siku walibuni tuzo la 'ukombozi wa Afrika, ambalo eti JPM alitunukiwa kwa heshima kubwa. Eti na walikuwa wakamkabidhi tuzo hilo, wait for it..... kule South Korea. [emoji38]
 
Hapa sijakubali kidogo.
Warudi kwao kusambaza ugonjwa mahalia ambako haupo kama wamesha ambukizwa tayari, bado tu kuonesha dalili?

Tatizo lipo kwa wale labda walikuja Nirobi kufuata kitu fulani kwa siku moja au mbili halafu ghafla unaskia hamna kutoka tena, utaishi kwa ndugu na marafiki siku ngapi kabla hawajakukinai. Busara itumike, kama vipi iwekwe karantini fulani wale wanaotoka waingie humo siku 14, ikitokea wako freshi bila kirusi basi waendelee kila mtu aende kwake, aidha mikoani au Nairobi.
Karantini waliowekwa hawa ambao wametajwa humu ilikua kama kukomolewa, na pia ikumbukwe baada ya hii karantini wangetiwa lockup, hata ngelikua mimi, lazima ningetoka nduki.
 

Hata mwezi ujao watakua hivi hivi maana uwezo wa kupima watu wengi hawana. Itakua video kama ile tuliona maiti zikitolea kwenye nyumba zao.
 
Jana mliongeza kesi 35 za corona kimya kimya (Hata Kenya haijawahi kuongeza kesi nyingi kiasi hicho kwa mpigo), sasa mmeipita Uganda kwa maambukizi, Uganda ambao wamefanya tests nyingi za Corona kuwaliko, Endelea na kidomo domo tu , Corona iko na real karma! Nnchi abazo zilikua zinacheka wenzao(Akina USA na UK) mwezi uliopita sahii hizo ndo zinaangaliwa kwa makini manake hali inaanza kutisha huko.

Kwahivyo we endelea kurusha mdomo tu

 

Lakini hapa sijui walijisahau au vipi, kwa nchi ya kijamaa yenye usiri kwa kila kitu imeshangaza kwamba wamekubali kuachia namba kama hizi kwa mpigo mmoja, hii imechanganya mpaka hawa propagandist wao wa kwenye mitandao, wapo wanatetea tu ajira lakini itakua imewatupa nje nje.
Maana ili kupata waathirika 35 kwa siku moja, ina maana wameongeza idadi ya vipimo kwa siku ambavyo walikua wanafanya chini ya kumi. Hapa sasa propagandist walikua wanasema haipaswi kuongeza idadi ya vipimo, sijui wataipiga twist gani.
 
Inaonekana hivi ni vile vipimo walivyopelekewa last week na jack ma, so ikawa haina budi ila kuvitumia manake tayari viko ndani ya nchi na wameletewa bure
 
Inaonekana hivi ni vile vipimo walivyopelekewa last week na jack ma, so ikawa haina budi ila kuvitumia manake tayari viko ndani ya nchi na wameletewa bure

Hatari sana kwa kweli, yaani tu basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…