Wakenya 32 waliowekwa karantini watoroka, hawajulikani wakikokwenda

Wakenya 32 waliowekwa karantini watoroka, hawajulikani wakikokwenda

Inaonekana hivi ni vile vipimo walivyopelekewa last week na jack ma, so ikawa haina budi ila kuvitumia manake tayari viko ndani ya nchi na wameletewa bure
leo vipi coronavirus infection?
 
Duh! Mungu ahurumie Zanzibar, kakisiwa kadogo maambukizi yanazidi kuongezeka, naona hapa waziri wao ametaja leo sita, I hope wamezuia hawaruhusu wageni hata wa kutokea Tanzania bara maana huko ndio kuna uzembe balaa.
 
Back
Top Bottom