Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Nyie Ldc mnaweza tufanya nini? Idi Amin hakuwa mjinga akichagua Tanzania, alijua Kenya sio ya kuchezea.Njaa kali.
Yani Pale Kenya maisha yapo nairobi tu.
Ukitoka ukienda sehemu zingine ni njaa tupu.
Tanzania inabidi ifunge mpaka wake na Kenya.
Au kama vipi wabadilishe mipaka. Kuna vipande vya kenya tuvichukue , Kwanza jeshi la Kenya ni utopolo mtupu
Muulize kilichomkuta pamoja na kusaidiwa na Jommo Kenyatta, ninyi Alshabaab wanawatia vidole kila mwaka.Nyie Ldc mnaweza tufanya nini? Idi Amin hakuwa mjinga akichagua Tanzania, alijua Kenya sio ya kuchezea.
Corona imeweka mtego, Tanzania ndio Target. Corona inapenda watu wa kijisifu na pia wale wasiochukua tahadhari kama nyie. Ni muda tu mtakuwa mnapiga unyende humu.Muulize kilichomkuta pamoja na kusaidiwa na Jommo Kenyatta, ninyi Alshabaab wanawatia vidole kila mwaka.
Alshabaab, Nzige, Njaa, Rushwa, ukabila, vimewashinda kuvimaliza, mtaweza kupambana na Corona inayowanyanyasa mabwana zenu wamarekani wakati ninyi ni Failed state?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, mlishasema sana kwamba " ni muda tu Alshabaab watavamia Tanzani, mkasema ni muda tu tutaanza kubaguana kwa makabila.Corona imeweka mtego, Tanzania ndio Target. Corona inapenda watu wa kijisifu na pia wale wasiochukua tahadhari kama nyie. Ni muda tu mtakuwa mnapiga unyende humu.
Uko na ndoto za alinacha.Corona imeweka mtego, Tanzania ndio Target. Corona inapenda watu wa kijisifu na pia wale wasiochukua tahadhari kama nyie. Ni muda tu mtakuwa mnapiga unyende humu.
Hamupimi. Hio ndio tatizoHahahaha, mlishasema sana kwamba " ni muda tu Alshabaab watavamia Tanzani, mkasema ni muda tu tutaanza kubaguana kwa makabila.
Nguja nikuambie, kitendo cha kwamba virusi vya Corona kati ya Kenya na Tanzania viligundulika " almost at the same week" kati ya Kenya na Tanzania, na sasa Kenya ina wagonjwa Mara kumi ya Tanzania, wakati Tanzania haijachukua hizo hatua kale kama Kenya, hiyo inaonyesha ni jinsi gani tulivyowazidi kwa akili. Work intelligently not violently "
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasomali tu wanawatoa jasho hadi leo hiiNyie Ldc mnaweza tufanya nini? Idi Amin hakuwa mjinga akichagua Tanzania, alijua Kenya sio ya kuchezea.
Hata wanaokufa pia hatupimi?, hahahaha, hahahahaHamupimi. Hio ndio tatizo
Bora wadudu wewe una mavi kwenye ubongo wako.
Somalia imewahi jaribu kunyakua shamba ya Kenya in the 1960s lakini tuliwakanyaga ile mbaya, hata hawakuingia Kenya. Al shabab haijawahi nyakua shamba ya Kenya. Idi Amin alinyakua kagera ama umesahau.Wasomali tu wanawatoa jasho hadi leo hii
Bado hawajaanza kukufa. Subiri tu.
Kwani kipindi cha mpito ni muda gani?, sasa hivi ni zaidi ya siku 26 tangu tumpate mgonjwa wa kwanza. Mbona wakenya wanakufa, kwanini watanzania bado hawajaanza kufanya?, au kwasababu sisi " immunity " ziko juu kutokana na kwamba tunakula, tunashina na tunabakisha chakula?Bado hawajaanza kukufa. Subiri tu.
Corona lazima mtu auguwe wiki tatu au nne ndio afe
Kwani kipindi cha mpito ni muda gani?, sasa hivi ni zaidi ya siku 26 tangu tumpate mgonjwa wa kwanza. Mbona wakenya wanakufa, kwanini watanzania bado hawajaanza kufanya?, au kwasababu sisi " immunity " ziko juu kutokana na kwamba tunakula, tunashina na tunabakisha chakula?
Sent using Jamii Forums mobile app
1. HampimiKama nzige tu wameshindwa kupambana nao, Corona ndio wataweza kweli...
Kitu watu wanasahau ni kwamba asilimia kubwa ya waTZ tayari wana inherent mass immunity kwa sababu pale wanaozaliwa hupewa immunization/chanjo ya lazima ya kujikinga na magonjwa ya namna hii ya Corona, mf Infulenza, ndui etc..
Nchi nyingine chanjo za aina hii huwa sio compulsory kwa sababu huamini kua health care system zao ziko advanced na kua magonjwa ya aina hio hutokea only in poor countries kwa hio suala hilo liliachwa kwa individual families to decide kama wanataka chanjo au la..
Ndio maana Tanzania pamoja na baadhi ya nchi za Afrika idadi ya maambukizi na vifo yako chini sana ukilinganisha na maambukizi na vifo jtk first world countries pamoja na nchi za Kiafrika ambazo hupenda kuiga kila kitu toka kwa Wazungu kama Kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ndivyo mnavyo jidanganya hapo Kunyaland!1. Hampimi
2. mko kwenye early stage si logical kujilinganisha na nchi kama marekani, italia, uchina n.k....ikumbukwe nchi hizi pia zilkua na cases chini ya 100 katika wiki mbili zao za mwanzoni
3. Licha ya hayo ukiangalia idadi ya vifo ukilinganisha na idadi ya maambukizi rate yenyu ipo juu kuliko nchi hizi sa hamna cha kujisifia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kwasababu mna wagonjwa wengi, hata wakifa 50 ni bora kuliko Tanzania wakifa 10 kwasababu rate ni ndogo?1. Hampimi
2. mko kwenye early stage si logical kujilinganisha na nchi kama marekani, italia, uchina n.k....ikumbukwe nchi hizi pia zilkua na cases chini ya 100 katika wiki mbili zao za mwanzoni
3. Licha ya hayo ukiangalia idadi ya vifo ukilinganisha na idadi ya maambukizi rate yenyu ipo juu kuliko nchi hizi sa hamna cha kujisifia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nairobi hakuna majiYani Pale Kenya maisha yapo nairobi tu.
Ukitoka ukienda sehemu zingine ni njaa tupu.
Tanzania inabidi ifunge mpaka wake na Kenya.