Kama nzige tu wameshindwa kupambana nao, Corona ndio wataweza kweli...
Kitu watu wanasahau ni kwamba asilimia kubwa ya waTZ tayari wana inherent mass immunity kwa sababu pale wanaozaliwa hupewa immunization/chanjo ya lazima ya kujikinga na magonjwa ya namna hii ya Corona, mf Infulenza, ndui etc..
Nchi nyingine chanjo za aina hii huwa sio compulsory kwa sababu huamini kua health care system zao ziko advanced na kua magonjwa ya aina hio hutokea only in poor countries kwa hio suala hilo liliachwa kwa individual families to decide kama wanataka chanjo au la..
Ndio maana Tanzania pamoja na baadhi ya nchi za Afrika idadi ya maambukizi na vifo yako chini sana ukilinganisha na maambukizi na vifo jtk first world countries pamoja na nchi za Kiafrika ambazo hupenda kuiga kila kitu toka kwa Wazungu kama Kenya.
Sent using
Jamii Forums mobile app