Wakenya 35 wakamatwa Tarime na kuwekwa chini ya Karantini

Wakenya 35 wakamatwa Tarime na kuwekwa chini ya Karantini

Tuliwaambia wakenya mnaitegemea sana Tanzania mlikua mbabisha, sasa unaona ukweli unavyojitokeza?. Hapo ni kwamba bado vyakula vinaruhusiwa kuingia Kenya toka Tanzania na Uganda, tukiamua kufunga mpaka kabisa, wakenya watakaokamatwa kujaribu kukimbilia Tanzania kwa siku, watazidi milioni moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
1977 walizidi millioni ngapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Mkenya nitoke nchi yangu nikakufie kwa jirani, uongo, some of this news ni za kueneza chuki ya watanzania as usual
 
Back
Top Bottom