komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
1977 walizidi millioni ngapiTuliwaambia wakenya mnaitegemea sana Tanzania mlikua mbabisha, sasa unaona ukweli unavyojitokeza?. Hapo ni kwamba bado vyakula vinaruhusiwa kuingia Kenya toka Tanzania na Uganda, tukiamua kufunga mpaka kabisa, wakenya watakaokamatwa kujaribu kukimbilia Tanzania kwa siku, watazidi milioni moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app