Takriban Wakenya 50 wanaoishi South Africa kupitia kundi la Kenyan Diaspora in South Africa (KEDASA) wameiomba serikali ya Kenya kuingilia kati na kuwasaidia kurejea nyumbani kutokana na hali ya usalama inayozidi kuwa mbaya.
According to reports, wengi wao wamepoteza ajira, wamekuwa wakikumbana na intimidation za nyumba kwa nyumba, na wengine wakihofia maisha yao kutokana na maandamano ya kupinga wageni pamoja na vitendo vya vigilante vinavyoendelea kushuhudiwa nchini humo.
Kundi hilo linasema kuwa anti-immigrant sentiments zimeongezeka kwa kiwango cha kutisha, forcing many migrants and foreign workers to live in fear. Wakenya walioathirika wamehimizwa kujisajili kupitia Kenya High Commission in Pretoria ili kupata msaada wa voluntary repatriation.
Wakati huo huo, mashirika ya haki za binadamu yameendelea kutoa msaada wa kisheria na psychosocial support kwa wahamiaji wanaokumbwa na changamoto hizo. Serikali ya South Africa chini ya Rais Cyril Ramaphosa imekosoa vikali vitendo vya vigilante na kuahidi kuchukua hatua dhidi ya wanaokiuka sheria.
The situation has sparked concern across the region, with many calling for urgent protection of migrants and stronger diplomatic intervention to ensure the safety of affected Kenyans.
Source : NTV