Wakenya 6 wanaoshiriki sherehe za JAMAFASET Dar, wametoroka

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Haya haya wana JF, taarifa za kuaminika zinasema kwamba, wakenya sita miongoni mwa wakenya walioingia Bongo Dar es Salaam kushiriki katika tamasha la Utamaduni la Jumuiya ya nchi za Afrika mashariki ambalo linatarajiwa kufungwa hapo kesho Jumamosi, wametoroka na kujichanganya na wabongo ili kukwepa kurudi kwao kesho.

Hali hii ilitegemewa sana kujitokeza kutokana na mwenendo wa washiriki kutoka nchi zingine za Uburundi, Kenya, Uganda na Sudan ya Kusini, kukosekana katika viwanja vya Taifa muda mwingi wa tamasha, badala yako wamekuwa wakijimwa CBD kulishangaa jiji lenye kila aina ya urembo, jambo hili limesababisha kuviacha vikundi vya Tanzania pekee kutumbuiza kwa wiki nzima sasa.

Baadhi ya washiriki toka hizo nchi walioojiwa na vyombo vya habari, walisikika wakisema kwamba, hii ni Mara yao ya kwanza kufika Tanzania, hawakutegemea kuikuta Dar es Salaam katika ikiwa na maendeleo kiasi hiki, wengi wamesifia, Amani, usafi, mpangilio wa mji, Kariakoo, BRT na vyakula.
 
kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkķkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkķkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkķkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk
dar es salaam niliopo au kuna dar yingine .
 
Hahaha. Kumbe unamjua huyu mtu wa misifa.
 
Hili jambo la wakenya na wanigeria kukataa kurudi kwao wanapoenda katika sherehe au michezo katika nchi zingine, linatoa picha gani kwa Kenya na Nigeria?
Kwa sababu Wanigeria wanapenda kukwama kwa wenyewe haimaanishi kuwa Nigeria ni uchumi hafifu. Nani hajui Nigeria ndio uchumi mkubwa hapa Africa?Vilevile licha ya Wakenya kupenda kutembea au kukwama kwa nchi za watu unavyosema, nani hajui Kenya ndio uchumi mkubwa hapa Afrika mashariki?
 
Hahahaha, mbona unajishuku?, sijasema kwamba ni uchumi dhahifu, hilo umelisema wewe. Kiukweli ni dalili ya kwamba wananchi wake wametengwa, hawashiriki katika kufaidi uchumi wa nchi zao.

Huwezi kukuta raia wa Botswana, Mauritius, Seychelles, Japan, Qatar, Norway, USA, UK, Germany, France, Tanzania, au nchi zote zenye uchumi ambao unawagusa wananchi, hakuna pengo kubwa kati ya tajiri na masikini, wala hakuna rushwa kama ilivyo kati ya Kenya na Nigeria, wanafanya ujinga huo.
 
Wewe wacha Uongo I know guys from Sweden , USA and UK ambao Visa zao zime expire na bado wanaendelea kuishi Kenya .Hio haimanishi wametengwa kiuchumi from their countries of origin.
Hata Wachina ni wengi sana ambao wako huku illegally
 
Hahahaha, usidandie gari kwa mbele, jaribu kuelewa kinachozungumzwa, sio habari ya visa kuisha, ni tatizo la raia wa nchi za Afrika au nchi zenye maisha magumu, kuamua kutorokea katika nchi zenye maisha mazuri pale wanapoenda kushiriki michezo, Nigeria, Ethiopia, na Kenya zinaongoza.

Hapa Tanzania, kulifanyika michezo, baadhi ya wachezaji toka Eritria, wakapotelea Tanzania, hawakurudi kwao baada ya michezo kumalizika, Leo kuna ripoti ya hawa wakenya 6 kutoonekana katika hii tamasha la JAMAFest.
 
Wale omba omba ni nyie ndo mnaenda kuwaiba alafu mnaenda kuwatumia kuwaombea pesa barabarani [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkenya mwenye akili timamu anafahamu hilo.
Pia Kuna Waganga na Wachuuzi wengi sana ama unataka kusema pia wao wako na work permit ? si wafanye Uganga huko Tanzania.
 
Ninyi watu wazima wenye nguvu na akili timamu wanaamua kutorokea Tanzania, acha hao ombaomba ambao huku hawaruhusiwi kisheria kuomba barabarani, wanakimbilia nchi ambayo ni "lawless country", nchi wenyewe ni ombaomba.
 
Haya haya wana JF, taarifa za kuaminika zinasema kwamba, wakenya sita miongoni mwa wakenya walioingia Bongo Dar es Salaam kushiriki katika tamasha la Utamaduni la Jumuiya ya nchi za Afrika mashariki ambalo linatarajiwa kufungwa hapo kesho Jumamosi, wametoroka na kujichanganya na wabongo ili kukwepa kurudi kwao kesho.

Hali hii ilitegemewa sana kujitokeza kutokana na mwenendo wa washiriki kutoka nchi zingine za Uburundi, Kenya, Uganda na Sudan ya Kusini, kukosekana katika viwanja vya Taifa muda mwingi wa tamasha, badala yako wamekuwa wakijimwa CBD kulishangaa jiji lenye kila aina ya urembo, jambo hili limesababisha kuviacha vikundi vya Tanzania pekee kutumbuiza kwa wiki nzima sasa.

Baadhi ya washiriki toka hizo nchi walioojiwa na vyombo vya habari, walisikika wakisema kwamba, hii ni Mara yao ya kwanza kufika Tanzania, hawakutegemea kuikuta Dar es Salaam katika ikiwa na maendeleo kiasi hiki, wengi wamesifia, Amani, usafi, mpangilio wa mji, Kariakoo, BRT na vyakula.
Unatuona sisi ni wapumbavu???
 
Back
Top Bottom