Wakenya acheni utoto

Sahihi mkuu, wapate na BP wafe tu, wameshakula sana nchi, ni muda sasa wa mabadiliko.

Kenya ni next level, nimeona hadi wasanii waki support Gen Z wapo nao pamoja, huku kwetu wasanii wote ni chawa, ni kusifu na kuabudu.
Huwa nikiwaangalia hawa wasanii wa Tanzania nachoka kabisa.Ni majinga fulani yaliyotokea familia njaanjaa wengi wao.Kwa ufupi,wanatumika kama ....(sijui niwafananishe na nini?)
 

Nimegundua. Shida ni kuwa Hujui Kiingereza.

Yesterday i went to BOUGHT? Kiingereza cha wapi hiki?


sasa badala ya kuwachukia wanaojua. Wewe jifunze. Learn from those who can speak english dogolasi. Do not hate them. Learn from them.
 
Nimegundua. Shida ni kuwa Hujui Kiingereza.

Yesterday i went to BOUGHT? sasa badala ya kuwachukia wanaojua. Wewe jifunze. Learn from those who can speak english dogolasi. Do not hate them. Learn from them.
Huwa anaharanya na broken zake humu JF tunamchora tu.Anaandikaga kiingereza cha kimwanjokamwanjoka!🤣🤣🤣🤣🙏
 
Wakenya wamekufanya nini ?.... Kihoro kitakuua.
 
Mkakati wa maandamano unapangwa na vijana wadogo kabisa kupitia mitandao.
Generation ya mitandaoni
Generation z
 
Hao wanaotumia kiingereza ambacho unaita ni lugha ya kigeni,wana tofauti gani na wewe ambaye huwa unafanyia mazoezi JF kwa kukitumia kuandika?Acha unafiki wewe muha!Au unawaonea wivu?
kwa sababu niliandika Uzi kuhusu Juma Njemba wa Kigoma tayari nishakuwa muha?
You think like Kenyans
 
Unaelewa kwanza maana ya Gen z?

Aina yenu ya waafrika ambao kila aina ya matatizo mnasingizia wazungu, ufisadi wazungu, viongozi wenu wakiwakandamiza wazungu, viongoz wakivurunda wazungu?

Lini mtabeba ya matatizo yenu bila kutafuta excuse?
Wewe unaelewa maana be Generation Z? Nina uhakika haujui chochote kuhusu maana ya generation z
 
Kimsingi hakuna lugha bora zaidi ya nyingine sababu sifa ya kuu ya kuitwa lugha ni kukidhi mahitaji ya watumiaji wake

Wale wazee wa linguistics wanajua hili
Kwahiyo kudhani kutumia English eti ndiyo utasikika ni ujinga

Ingawa English ni lingua franca bado waafrica wanaweza kuelewana bila English.

Ukiangalia wakorea, Chinese na wengine wa Asia hawatumii sana kingereza lakini wako mbali sana kimaendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…