Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Mbona CCM mkitukanwa kwa kiingereza hamuhuzuniki?Kwa mfano "nonsense" kwa waziri!Yaani kuna watu mpaka leo hii wanadhani wakitumia kizungu eti ndio Mungu anawasikia vizuri. Duh😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona CCM mkitukanwa kwa kiingereza hamuhuzuniki?Kwa mfano "nonsense" kwa waziri!Yaani kuna watu mpaka leo hii wanadhani wakitumia kizungu eti ndio Mungu anawasikia vizuri. Duh😎
Solid WasteTakataka kavu
Na Doctor huyu!!.Yaani Wakenya/wananchi wayapate maumivu na kutoa muitikio hasi wewe uwasingizie wazungu?Akili za wapi hizo?Za CCM?
Kila kitu unaingiza ccm. Wewe vipi?Mbona CCM mkitukanwa kwa kiingereza hamuhuzuniki?Kwa mfano "nonsense" kwa waziri!
Mimi huwa mchokozi muda wote tu.Kila kitu unaingiza ccm. Wewe vipi?
Mkuu, Mother tongue ya Kenya ni kiswahili. Vipi lakini ,angeongea kikikuyu wajaluo na wakamba wangemuelewa?Ni sawa lakini kama unavyojua kuwa mtu anakuwa vizuri zaidi na akiwa amedhamiria kufikisha ujumbe basi hutumia mother tongue yaani first language ambayo nina uhakika kwa wakenya haiwezi kuwa ni English bali lugha za makabila ambazo mtoto anaimasta nyumbani then English shule
Point yangu ni kuwa jamaa kaamua kutumia English ili asikike zaidi maana hiyo language ni lingua franca
Nimesema wazi mkuuMkuu, Mother tongue ya Kenya ni kiswahili. Vipi lakini ,angeongea kikikuyu wajaluo na wakamba wangemuelewa?
Nimecheka sana mkuu.Wakenya hawana lolote wanacho kifanya ni MAIGIZO tu.
Ukiona mbongo anasali kwa kiingereza basi jua hana shida huyo.
Ukiona mtu anaelezea matatizo yake kwa lugha ya kigeni wakati ana option ya kuyaelezea kwa lugha yake mwenyewe basi jua hana matatizo huyo.
Muandamanaji anasema
" we are tired. This government is bad. We are hungry. We don't have food " blah blah blah.
And you are taking him seriously?
Angekuwa ana shida kweli angezitaja kwa lugha mama yake na sio lugha ya kigeni.
Upo na matatizo ya ukweli ukweli unapata wapi muda wa kufanya madoido ya kutumia lugha ya kigeni?
Saikolojia ya lugha inayo muhusu mwafrika inasema mwafrika huwaga anataja matatizo yake kwa lugha mama yake na kamwe hawezi kuyataja kwa lugha ya kigeni ambayo huwa mwafrika anaiona superior language.
Jambo zuri atalitaja kwa kiingereza ila jambo baya ndo atalitaja kwa kiswahili.
Mfano Slay queen aliyeibiwa iPhone, hata siku moja hawezi kusema " MY iPhone has been stolen"
Atasema " YESTERDAY I WENT TO BUY AN IPHONE AT MLIMANI CITY, ILA NILIPOPITA MANZESE IKAIBIWA"
So acheni kuwaambia wabongo waige huo utoto wa Wakenya.
Moderator naomba msiunganishe Uzi huu na nyuzi nyingine