Wakenya acheni utoto

Mkuu, Mother tongue ya Kenya ni kiswahili. Vipi lakini ,angeongea kikikuyu wajaluo na wakamba wangemuelewa?
 
Mkuu, Mother tongue ya Kenya ni kiswahili. Vipi lakini ,angeongea kikikuyu wajaluo na wakamba wangemuelewa?
Nimesema wazi mkuu
Ameamua kutumia English ili aeleweke na watu hata nje ya Kenya

Sababu English ni lingua franca basi .
 
Jamii forum ina bahati mbaya kuwa na waanzisha mada kama wewe. Ni kama kitu pekee mnachojivunia ni kuanzisha mada za ujinga zenye maandidhi marefu marefu.

Grow up.
 
Nimecheka sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…