Wakenya bana...tiketi za SGR zimeisha, mabasi ya mikoani yamekodiwa yote kuelekea msimu wa Krisimasi

Mombasa ni wachache sana wanaenda ukilinganisha, kwanza wakenya wengi sana hawajafika Mombasa, ikofika December all roads lead to mashambani., Mombasa no wake wapenda starehe, watuvwengi wanaenda kukutana na jamii zao na kusherehekea sikukuu ya krismasi wakiwa makwao, kwa watu wa ukoo wao., Mitanzania huwa sana mnatamani fikra zenu zikue ukweli lakini mnapata taabu sana, no ndoto za aliniacha😂., Kenya sio size yenu, kapumzike na akina Malawi, mtaelewana.,
 
Wakat mnakwenda ma kwenu mkumbuke Omnicron ipo njiani ....soon mtarejeshwa lock down tenaaa
 
sikujua kama huu uzi ni wa mashindano paka niliposoma comment
 
Skia mwendawazimu, domestic tourism is 3times bigger than tanzania
 
Alafu update jamaa limetokea Kigoma - 1500km away. Kufika lichukue siku mbili minimum.[emoji1787]
That was 90's era bro, kipindi wanapitia Kenya, sasa hivi hakuna safari inayochukua zaidi ya 24 hrs labda watu waamue kulala njiani.
So usiwe mjinga mjinga, ulizia hata
 
SGR inayotumia Kerosene ndio unajisifia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…